Kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika vibaya, watu wa Dar es salaam kususia maandamo, hakutakuwa na nyomi



Maana chadema wanapigania Maslahi yao? Pumbavu kabisa, hizi ndo akili za wasomi wenye degree moja wanaolalamika hakuna ajira? Ndo maana huwa sisaidiagi mang'ombe graduate yenye shida, shida ikiwapata vizuri mtajua kujitetea.
 
Mara hakuna watu mara naliona jeshi , kipi ni kipi Sasa!? Utakuwa unaugua uchizi wewe.
 
Sawa wahi mapema umsaidie dada yako kufua nguo za shemeji yako!
 
Mama amebana kila kitu, wameishiwa hoja za kisiasa. Wanatafuta mlango wa kutokea.
Maandamano siyo hoja ya kisiasa? Ulisoma shule gani na level gani wewe.
Mgao wa umeme
Ghalama za maisha
Ukosefu wa ajira
Hizo siyo hoja za kisiasa.
 
.

..siku zote mwanzo huwa ni mgumu.

..wasipopata watu wa kutosha watajifunza kutokana na makosa yao, na maandamano yatakayofuatia yatakuwa na matokeo mazuri zaidi.
 
Mfano kesho wafanyakazi wanafanyaje..wanaaga kazini kwenda maandamano au wanafanyaje.
 
Haya ndio mataamanio ya Kila jizi la kura la ccm.
 
Wanachopigania chadema siyo chao peke yako wewe mwenyewe uliona uchaguzi wa 2020 ulivyo kwenda unadhani ccm wanaharubu uchaguzi bure la hasha ni kwasababu wananufaika
 
Wanachopigania chadema siyo chao peke yako wewe mwenyewe uliona uchaguzi wa 2020 ulivyo kwenda unadhani ccm wanaharubu uchaguzi bure la hasha ni kwasababu wananufaika
Wanapigania nafasi za ubunge wao

We utapata nini
 
Wanapigania nafasi za ubunge wao

We utapata nini
Mimi is nataka nipate wabunge wanao wajibika siyo hawa wanauza nchi yetu kwa waarabu wanaigia mikataba mibovu kwa manufaa ya matumbo yao, nchi kama Boswana wanategemea madini tu ila kutokana na uongozi mzuri ajira zipo kibao kiasi madaktari na waalimu wanakimbilia huko kufanya kazi.
 
This did not age well.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…