Tulia wewe huoni niffah nishamuwahi
Njoo huku miss natafutaHusika na tittle hapo juu,
Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?
Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
Pesa atapata za kawaida kwangu japo yale mambo fulani atafurahi zaidi.ila atakula,atavaa,atalaaMkuu una hela yule si mtu wa mchezo mchezo ngoja aje
Huu ushemeji wa Manfongo sasa.. Wivu lazima aisee!
Wewe ni mke wa mtu halafu unakuja kushobokea wanaume huku JF!![emoji17]..........Mungu anakuona ujue![emoji30] [emoji30] [emoji30]