Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Hv wale wachawi wa JF wanaitwa akina nani vileee. Me namtaka mmjowapo nitampa mapz mubasharaaaaa
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Chonde chonde jamani usije jikuta unashobokea kumbe Jinsia Mko sawa[emoji23] [emoji23]
 
Husika na tittle hapo juu,

Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?

Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.

Mkuu kuna Watu humu inasemekana wapo katika ' list ' zote ile ya phase one ya Watu 560, phase two ya Watu 65 na hii latest kabisa ya leo ya Watu 97 sasa tunaogopa kuwataja tunaowapenda Kesho tukaamkia Central Police kuanza ' ngwe ' ya Kwanza na Kamishina Sianga. Tumejifunza kutokana na makosa!
 
Husika na tittle hapo juu,

Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?

Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
Kwahiyo siku nyingne hampendani.miafrika aisee mipumbavu sna .Leo nmekaa home make.a nakuja baba kayeye kesho siku ya wa.penadanao....nka muliza Mimi sikipendi.siku zone mama kayeye ?kimya nyoko
 
Back
Top Bottom