Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

Husika na tittle hapo juu,

Kama ukipewa fursa ya kuchagua mmoja wa member humu JF awe ni ke au ni me je wewe utapenda kutoka na nani?

Onyo: Mimi ni padre plies nakaa pembeni fungukeni wenyewe mi yangu macho.
Njoo huku miss natafuta
 
Nitatoka mwenyewe kwa sababu Siku ya Kesho Mwenyezi Mungu atanikirimia mwaka mwingine katika Maisha yangu hapa Duniani.
 
Joanah,nakudedicate a song known as ( you are the only one) by lionel richie,
wanga wapite pembeni,kabisa.
 
Joanah,nakudedicate a song known as ( you are the only one) by lionel richie,
wanga wapite pembeni,kabisa.
 
Faiza ila kama kawaiwa nitaenda miss natafuta .roho yangu itasuuzika
 
Back
Top Bottom