Kesho ni siku ya wapendanao: Je ungependa kutoka na nani hapa JF?

miss natafuta-kama avatar aliweka inamwakilisha yeye imekaa ki miss bantu! inanitamanisha
 
Daah mimgenibado ngoja niangalie angalie hadi jioni jioni ambae hajatajwa nitaomba nichomoke nae.
 
Ni swali tata kwa mtu mwenye wizara nyingi kuliko unavyofikira.....

Lakini ni swali rahisi sana kwa mtu muaminifu.....kwani umependae daima anaishi ndani yako.......

LET [emoji173]️ TAKE THE LEAD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…