BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Aliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu.
Confirmed kesho ni Eid
Confirmed kesho ni Eid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp ile darubini la kuchungulia mwezi aliloombaga alipewaAliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza ETI KESHO NI SIKUKUU?
Mimi Mufti kuku The Infinity , nasema ndio ni EidAliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza ETI KESHO NI SIKUKUU?
Kwa vyovyote vile naomba isiwe sikukuu..Tutajua jioni mzee. Mida ya saa 1 hivi Mufti atasema.
Ansari Sunnah.. 😝😝😝Boss wangu kesho atanisamehe, najua kesho ni sikukuu
Kwamba saudia siku 30 na tanzania pia siku 30. Kisheria waliotimiza cycle 30 hawa wengine wawe na 29,haiwezekan kuwe na 30 mbili.ni ukaidi tu wa hapa ila kenya utaskia wamesalKwa kuwa Saudi Arabia hawajasali leo ambao kwa kawaida wanauona mwezi siku moja kabla;
Inamaana kwa kiasi kikubwa Eid itakuwa Alhamisi (11th April) kwa huku kwetu...
theleKwa kuwa Saudi Arabia hawajasali leo ambao kwa kawaida wanauona mwezi siku moja kabla;
Inamaana kwa kiasi kikubwa Eid itakuwa Alhamisi (11th April) kwa huku kwetu
Eid ni kesho.Kwa kuwa Saudi Arabia hawajasali leo ambao kwa kawaida wanauona mwezi siku moja kabla;
Inamaana kwa kiasi kikubwa Eid itakuwa Alhamisi (11th April) kwa huku kwetu...
kwa kweliKwa vyovyote vile naomba isiwe sikukuu..
dalili za uvivu na uzembeAliyeko karibu na Mufti tusaidieni kumuuliza kama kesho ni sikukuu.
Bahrain sio Tanzania😂🚶Nilikuwa naongea nae hapa,kanihakikishia ni sikukuu mwezi umeonekana Bahrain so pilau tunalo
Sure wengi tunataka iwe hivyoOya kausha, acha iangukie alhamis tuwe na wikiendi ndefu kama ya pasaka...
Unyama idondoke alhamis ili na boss wako muonane wiki ijayoBoss wangu kesho atanisamehe, najua kesho ni sikukuu