Kesho ni sikukuu?

Kesho ni sikukuu?

Kwa kuwa Saudi Arabia hawajasali leo ambao kwa kawaida wanauona mwezi siku moja kabla;
Inamaana kwa kiasi kikubwa Eid itakuwa Alhamisi (11th April) kwa huku kwetu
Japo hizi sikukuu hutegemea kuandama kwa mwezi...
 
Kwa kuwa Saudi Arabia hawajasali leo ambao kwa kawaida wanauona mwezi siku moja kabla;
Inamaana kwa kiasi kikubwa Eid itakuwa Alhamisi (11th April) kwa huku kwetu...
Kwamba saudia siku 30 na tanzania pia siku 30. Kisheria waliotimiza cycle 30 hawa wengine wawe na 29,haiwezekan kuwe na 30 mbili.ni ukaidi tu wa hapa ila kenya utaskia wamesal
Kwa kuwa Saudi Arabia hawajasali leo ambao kwa kawaida wanauona mwezi siku moja kabla;
Inamaana kwa kiasi kikubwa Eid itakuwa Alhamisi (11th April) kwa huku kwetu
thele
 
Sie Answar sunna leo ni chungu cha 30 means kesho lazima tufungue, ila wenzetu wanaosubr mpaka mufti atangaze bado wapo njia panda ( yaumul shakah) . All n all kesho ni Eid el fitr.
 
Back
Top Bottom