Kesho nitaonyesha sehemu zangu za siri

Kesho nitaonyesha sehemu zangu za siri

Kila mtu anazo. Shida yote ya nini, nenda kituo chochote cha polisi kwenye hifadhi ya viroba na unga uliokamatwa, upate stimu kwanza utapoa. Kisha utachukuliwa na kupelekwa kwenye vituo vya 'Rehab' utoke ukiwa raia mwema.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Yaani nitaonyesha sehemu ninayoenda kuvutia bangi na kunywa viroba na kukabia,





Nyie endeleeni tuu kuwaza ujinga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
kwenye mada yako ya vimulimuli kuna jamaa alisema una mada za kipuuzi, nimeanza kuamini
 
Eeh Mungu tunakuomba uiondoe CCM madarakani kwa mikono yako pekee.
 
Back
Top Bottom