wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
- Thread starter
- #21
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kila mtu anazo. Shida yote ya nini, nenda kituo chochote cha polisi kwenye hifadhi ya viroba na unga uliokamatwa, upate stimu kwanza utapoa. Kisha utachukuliwa na kupelekwa kwenye vituo vya 'Rehab' utoke ukiwa raia mwema.