[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kila mtu anazo. Shida yote ya nini, nenda kituo chochote cha polisi kwenye hifadhi ya viroba na unga uliokamatwa, upate stimu kwanza utapoa. Kisha utachukuliwa na kupelekwa kwenye vituo vya 'Rehab' utoke ukiwa raia mwema.
Shukrani sanaMshana poleni mkuuu
kwenye mada yako ya vimulimuli kuna jamaa alisema una mada za kipuuzi, nimeanza kuaminiYaani nitaonyesha sehemu ninayoenda kuvutia bangi na kunywa viroba na kukabia,
Nyie endeleeni tuu kuwaza ujinga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Pole sana mshana
Ova
Yaani nitaonyesha sehemu ninayoenda kuvutia bangi na kunywa viroba na kukabia,
Nyie endeleeni tuu kuwaza ujinga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tuko wengi mkuu lakini mimi situmii