Kesho Nitawaleteeni Andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi kuwausia Wakuu wa wilaya na Mikoa

Mfumo wote wa CCM ni mbovu mno tuuondoe haraka!
 
Ulete nzito kama kimondo cha Longido,ya Mbozi yawe na siku yake maalumu.
 
Ni vile wengi wanaku underestimate lakini kwa sisi wachuja nafaka tunajua kabisaa kitengo kiliandaa intelligent bwege style ili kuinstigate understaing ya jamii ya humu

Haya lete andiko la kimondo
 
Ni watu wenye kujuwa na kufahamu siri mbalimbali za kiusalama na Masuala mbalimbali.hivyo ni nafasi zinazohitaji na kumhitaji mtu kuwa na kifua
Ukiona watu wameamua kutoa ya moyoni mwao,ujue kuwa vifua vyao vimeshindwa kusitahimili kubeba maovu yanayofanywa na serekali ya CCM,kwa kulinda vifua vyao visije vikapasuka inabidi waseme ukweli wanaoujua.
 
Acha mambo ya kukariri ewe usiyejitambua
 
Wanajua Siri gani zaidi ya wizi wa Kura za kuisaidia CCM? Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya mchongo? Muulize Mkuu yeyote wa Wilaya nchi hii kama anajua Polisi Wana silaha ngapi achiliq mbali vikosi kidogo vya JW vilivyoko wilayani kwake.
 

Waache kusema ukweli au waache kutoa Siri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…