Kesho Nitawaleteeni Andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi kuwausia Wakuu wa wilaya na Mikoa

Ndugu zangu Watanzania,

Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamani kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao katika Masuala mbalimbali wanayoshiriki ama kuongoza ama kuyafahamu.

Ikumbukwe ya kuwa viongozi hawa ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama katika maeneo yao.na hivyo kushiriki katika vikao mbalimbali nyeti vyenye kujadili ,kupitisha na kufanya maamuzi ya masuala mbalimbali mazito kwa maslahi mapana ya wilaya na Mikoa yao.

Ni watu wenye kujuwa na kufahamu siri mbalimbali za kiusalama na Masuala mbalimbali.hivyo ni nafasi zinazohitaji na kumhitaji mtu kuwa na kifua, usiri, hekima, busara, subira na kuchunga ulimi wake kama mboni ya jicho lake. Ni nafasi zinazohitaji mtu kuchuja Maneno na kujuwa yapi na maneno gani yaongelewe wapi na yapi UFE nayo kifuani pako..

Ni nafasi ambazo zinahitaji misuli ya kiakili ,ni nafasi ambazo zinahitaji utulivu wa hali ya juu kabisa.hazihitaji mtu mropokaji,mwenye mihemuko,mkurupukaji,jazba na ulevi au ulimbukeni wa cheo. Ni nafasi zinazohitaji kuwa mtu wa kuwa mbele ya wakati kwa mambo mbalimbali.

Ni nafasi ambazo kuna mambo mengi yanapaswa kuishia ofisini pasipo kwenda kumsimulia hata mkeo au watoto wako au watu wako wa karibu,kwa sababu hao watu unaowasimulia kumbuka kuwa hawajaapishwa wala hawajala kiapo chochote kile cha kutunza siri yoyote ile.hivyo wanaweza kwenda kuropoka popote pale bila hofu wala wasiwasi.wengine wanaweza kuropoka hata bar au hata kwenye ma group yao ya whatssap.

Ndio maana nimeona kesho muda fulani hasa nyakati za jioni baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutwa nzima nije na andiko zito sana kwenda kwa viongozi hao.naamini kwa litakao wafikia litawasaidia kwa kiasi chake. Kumbuka tu kuwa Elimu haina Mwisho.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mfumo wote wa CCM ni mbovu mno tuuondoe haraka!
 
Ulete nzito kama kimondo cha Longido,ya Mbozi yawe na siku yake maalumu.
 
Ni vile wengi wanaku underestimate lakini kwa sisi wachuja nafaka tunajua kabisaa kitengo kiliandaa intelligent bwege style ili kuinstigate understaing ya jamii ya humu

Haya lete andiko la kimondo
 
Ni watu wenye kujuwa na kufahamu siri mbalimbali za kiusalama na Masuala mbalimbali.hivyo ni nafasi zinazohitaji na kumhitaji mtu kuwa na kifua
Ukiona watu wameamua kutoa ya moyoni mwao,ujue kuwa vifua vyao vimeshindwa kusitahimili kubeba maovu yanayofanywa na serekali ya CCM,kwa kulinda vifua vyao visije vikapasuka inabidi waseme ukweli wanaoujua.
 
Matokeo ya kuteua watu kwa vigezo vya ukada wa CCM, uchawa kwa viongozi na uwezo wa kutukana wapinzani ndiyo haya. Zamani nafasi kama za DR na RC zilikuwa kwa watu ambao wamefanaya kazi Serikalini na kwenye taasisi zake kwa muda wakutosha hivyo wanakuwa na uzoefu na mifumo ya Serikali na pia kwa vile wamedumu kwa muda wa kutosha kwenye utumishi wa umma wanakuwa wanafahamika kwa record za utendaji wao. Siku hizi kijana akimaliza Chuo na ni kada wa CCM anapewa tu nafasi hizo bila kufanyiwa vetting ya kutosha, matokea yake ndiyo haya tunakuwa na wakuu wa Wilaya na Mikoa wahuni, waropokaji, walevi, wavuta bangi na wafiraji kama yule wa Simiyu.
Acha mambo ya kukariri ewe usiyejitambua
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamana kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao katika Masuala mbalimbali wanayoshiriki ama kuongoza ama kuyafahamu.

Ikumbukwe ya kuwa viongozi hawa ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama katika maeneo yao.na hivyo kushiriki katika vikao mbalimbali nyeti vyenye kujadili ,kupitisha na kufanya maamuzi ya masuala mbalimbali mazito kwa maslahi mapana ya wilaya na Mikoa yao.

Ni watu wenye kujuwa na kufahamu siri mbalimbali za kiusalama na Masuala mbalimbali.hivyo ni nafasi zinazohitaji na kumhitaji mtu kuwa na kifua, usiri, hekima, busara, subira na kuchunga ulimi wake kama mboni ya jicho lake. Ni nafasi zinazohitaji mtu kuchuja Maneno na kujuwa yapi na maneno gani yaongelewe wapi na yapi UFE nayo kifuani pako..

Ni nafasi ambazo zinahitaji misuli ya kiakili ,ni nafasi ambazo zinahitaji utulivu wa hali ya juu kabisa.hazihitaji mtu mropokaji,mwenye mihemuko,mkurupukaji,jazba na ulevi au ulimbukeni wa cheo. Ni nafasi zinazohitaji kuwa mtu wa kuwa mbele ya wakati kwa mambo mbalimbali.

Ni nafasi ambazo kuna mambo mengi yanapaswa kuishia ofisini pasipo kwenda kumsimulia hata mkeo au watoto wako au watu wako wa karibu,kwa sababu hao watu unaowasimulia kumbuka kuwa hawajaapishwa wala hawajala kiapo chochote kile cha kutunza siri yoyote ile.hivyo wanaweza kwenda kuropoka popote pale bila hofu wala wasiwasi.wengine wanaweza kuropoka hata bar au hata kwenye ma group yao ya whatssap.

Ndio maana nimeona kesho muda fulani hasa nyakati za jioni baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutwa nzima nije na andiko zito sana kwenda kwa viongozi hao.naamini kwa litakao wafikia litawasaidia kwa kiasi chake. Kumbuka tu kuwa Elimu haina Mwisho.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wanajua Siri gani zaidi ya wizi wa Kura za kuisaidia CCM? Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya mchongo? Muulize Mkuu yeyote wa Wilaya nchi hii kama anajua Polisi Wana silaha ngapi achiliq mbali vikosi kidogo vya JW vilivyoko wilayani kwake.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Siku ya Kesho panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu nimepanga kuleta andiko zito sana kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi Mkoani Songwe kuwausia wakuu wa Wilaya na Mikoa. Ni andiko la kuwakumbusha mambo mbalimbali, kuwakumbusha dhamana kubwa waliyoibeba ,kuwakumbusha wajibu wao katika Masuala mbalimbali wanayoshiriki ama kuongoza ama kuyafahamu.

Ikumbukwe ya kuwa viongozi hawa ni wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama katika maeneo yao.na hivyo kushiriki katika vikao mbalimbali nyeti vyenye kujadili ,kupitisha na kufanya maamuzi ya masuala mbalimbali mazito kwa maslahi mapana ya wilaya na Mikoa yao.

Ni watu wenye kujuwa na kufahamu siri mbalimbali za kiusalama na Masuala mbalimbali.hivyo ni nafasi zinazohitaji na kumhitaji mtu kuwa na kifua, usiri, hekima, busara, subira na kuchunga ulimi wake kama mboni ya jicho lake. Ni nafasi zinazohitaji mtu kuchuja Maneno na kujuwa yapi na maneno gani yaongelewe wapi na yapi UFE nayo kifuani pako..

Ni nafasi ambazo zinahitaji misuli ya kiakili ,ni nafasi ambazo zinahitaji utulivu wa hali ya juu kabisa.hazihitaji mtu mropokaji,mwenye mihemuko,mkurupukaji,jazba na ulevi au ulimbukeni wa cheo. Ni nafasi zinazohitaji kuwa mtu wa kuwa mbele ya wakati kwa mambo mbalimbali.

Ni nafasi ambazo kuna mambo mengi yanapaswa kuishia ofisini pasipo kwenda kumsimulia hata mkeo au watoto wako au watu wako wa karibu,kwa sababu hao watu unaowasimulia kumbuka kuwa hawajaapishwa wala hawajala kiapo chochote kile cha kutunza siri yoyote ile.hivyo wanaweza kwenda kuropoka popote pale bila hofu wala wasiwasi.wengine wanaweza kuropoka hata bar au hata kwenye ma group yao ya whatssap.

Ndio maana nimeona kesho muda fulani hasa nyakati za jioni baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutwa nzima nije na andiko zito sana kwenda kwa viongozi hao.naamini kwa litakao wafikia litawasaidia kwa kiasi chake. Kumbuka tu kuwa Elimu haina Mwisho.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Waache kusema ukweli au waache kutoa Siri?
 
Back
Top Bottom