RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kesho sili nyama kabisa tena kwaanzia sasa hivi. Msimamo wangu hupo pale pale jinsi nilivyofunga sikula chochote siku mbili mfululizo Idii mos na iidii pili.
adriz hydroxo Accumen Mo Jagina incharge ielewemitaa Malaria 2 Adiosamigo
Baada ya kuona kimya ukaanza kuongea mwenyewe 🤣🤣🤣Hata mimi sitakula.