Kesho sili nyama

Kesho sili nyama

Kwanini unasema kafara em fafanua nasi tupate mwangaza.
sikuona mbongo aliyenunua mifugo hiyo mingi, naona wao ndio wanatumikishwa kuchinja na kupakia kwenye magari kwenda kugawa mitaani kwa anayetaka nyama za bure. Hao waturuki wako bussy kupiga picha na kurekodi matukio hayo.
 
ni kweli,,ila udini haufai
Mimi kwa mdini awe Muislamu ama mkristu huo udini unamsaidia yeye na famulia yake.
.Sema hata uwe mdini vipi, ukiwa kwenye miji tunachangia sehemu za matibabu, daladala tunspanda wote wala hatuulizi mmiliki wa dini gani, shida wala haichagui wewe ni imani gani, hivyo matokeo ya duni ni kwa Muumini mwenyewe tu.
 
Well said
 
Back
Top Bottom