Si ndo natafuta njia nimlipe MweshimiwaDawa ya deni kulipa na wala usiku wake haukawii...
Oooh mzeemwambie fazahausi apitie ule uzi wa kula kimasihara hapo atakushukuru sana hatataka kodi.
Atakuwa kavimba huyoo ataki sikia kingine zaidi ya kodiMpe hadithi za mtume atakuonea huruma
Na muda unasonga saa 2 kasoro sasaDawa ya deni kulipa na wala usiku wake haukawii...
Aachie chumbamwambie ulifariki