Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

Mwambie kazini kwenu mlipewa likizo ya ramadhan bila malipo so kesho kutwa ndo unarudi mzigoni.
 
Kumbuka mwenzio amezika hapo kwenye hiyo nyumba yake zaidi ya milioni 100

Jitahidi tu ulipe Kodi yake

Mimi kwenye nyumba yangu moja ya kupangisha nilikuwa na huruma, Kuna mpangaji alikaa bila kulipa Kodi miezi 7

Hadi nilipoamua kumbadirishia kitasa ndiyo akaja nyumbani kuniletea Kodi yangu

Baadhi ya Wapangaji hawana huruma kabisa 🙌
Mkuu hii biashara mbona kero sana? Biashara imejaa lawama ni kweli unakuta umempangisha mtu na anafamilia Hali ni ngumu vyazo vya mapato havieleweki hata mlo wa familia unakuwa kipengele ss Kodi hapo ataipata wapi bila huruma Yako. Nimeyapitia haya naelewa hiyo situation.
Kuna miaka Fulani nilipigika sana nikahama chumba Cha double nikahamia single napo ikawa hivyo hivyo msoto mama mwenye nyumba nikamueleza ukweli halisi akaniachia miezi miwili nikae free akanikopesha ni kiasi kidogo Cha pesa nijiongeze mtaji na pesa nikaitumia na familia nje ya malengo aliyotalajia lkn alinivumilia nikapambana mpaka nakuja kutoka hapo nahamia kwenye Banda langu alinisaidia sana ningeadhilika
 
Mzee ukimlipa hela yake kwa wakati mnakuwa marafiki na kutaniana, Ila Sasa Chelewa au msumbue mnakuwa anakuwa adui ghafla kama akujui yani😢 Sina namna ndugu/kaka/ dada na wakubwa mnikoe kwa hili JF imekuwa msaada mkubwa kwangu 0788258979 nimlipe huyu Mzee, nikifanikiwa akili itanikaa Sawa, nimekengeuka tu kidogo
 
Pesa yako ilikuwa ndogo sana. Ningekupatia ila nina hali mbaya sana. Ningekukopea songesha ukawa unalipa wewe mdogomdogo mpaka deni lingeisha
 
Hamia nyumbani kwa baba yako mbinguni mkuu.Nyumba za watu ni kero.
Kudos na njia ya kwenda huko ni very simpo tu, kamba ya manila na mti tu, funga kitanzi vaa shingoni halafu afanye kama anabembea vile.
Awahi akukutane na akina ibrahim, isaka na yakobo
 
Mkuu hii biashara mbona kero sana? Biashara imejaa lawama ni kweli unakuta umempangisha mtu na anafamilia Hali ni ngumu vyazo vya mapato havieleweki hata mlo wa familia unakuwa kipengele ss Kodi hapo ataipata wapi bila huruma Yako. Nimeyapitia haya naelewa hiyo situation.
Kuna miaka Fulani nilipigika sana nikahama chumba Cha double nikahamia single napo ikawa hivyo hivyo msoto mama mwenye nyumba nikamueleza ukweli halisi akaniachia miezi miwili nikae free akanikopesha ni kiasi kidogo Cha pesa nijiongeze mtaji na pesa nikaitumia na familia nje ya malengo aliyotalajia lkn alinivumilia nikapambana mpaka nakuja kutoka hapo nahamia kwenye Banda langu alinisaidia sana ningeadhilika
Nyumba za kupangisha sio biashara, ni kama huduma tu

Mimi kwa yule mpangaji nisingetumia busara ningeweza kumdharilisha.

Lakini nilimvumilia miezi 7 bila kulipwa Kodi yangu
 
Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!?

Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu watakaonina nalia na kumwaga machozi watoto wake hawapo kwa sasa
Mwambie Huna kitu akizingua piga makofi mbwa huyo
 
Back
Top Bottom