Kuwa aangaliye kwenye akaunti ya kuwa umeshamtumia kodi yake.Nipo Nawaza na kutafakari kila siku namkimbia na kuponyoka na story kibao, Leo naskia wapangaji wanaongea kwamba kaja ameshararuka na kuwa mkali na kesho hataki kuskia story za abunuasi kwa mpangaji mwenye deni!?
Hapa napiga nimfate Nyumbani kwake nikalia maana yupo yeye na mke wake tu watakaonina nalia na kumwaga machozi watoto wake hawapo kwa sasa
😂 dah nimecheka sanaMfate kwake afu mwambie umesafiri
Inasikitisha sana mkuu 😭😂 dah nimecheka sana
Afate ushauri wakoInasikitisha sana mkuu 😭
Noma sanaPole sana mkuu, ikawe baraka upate kumlipa,
Ila wenye nyumba wengine wa hovyo mtu anakuja anautangazia umma wote kuwa unadaiwa,
Juzi jamaa angu katoka kujaziwa watu kisa deni,
Changamoto mkuuNoma sana
Mimi ukinitangazia nitakutukana matusi ya nguoni..Pole sana mkuu, ikawe baraka upate kumlipa,
Ila wenye nyumba wengine wa hovyo mtu anakuja anautangazia umma wote kuwa unadaiwa,
Juzi jamaa angu katoka kujaziwa watu kisa deni,
Kodi ni mwezi mmoja ni 20000 hapo anadai ya miezi miwili mkuu, changamoto tu unajua maana ya kutembea ndo kazi na ofisi ndo miguu yanguKodi shingapi na kimekusibu nini hadi kukwama?
Sijaelewa miguu imefanyaje mkuu pole sana.kutembea ndo kazi na ofisi ndo miguu yangu
Ndugu yetu anatafuta mbinu ,kumbe baba mwenyenyumba unamchora, jf stress upende MwenyeweKesho nataka kodi yangu. Wana JF wasikuponze.
Hatari.Ndugu yetu anatafuta mbinu ,kumbe baba mwenyenyumba unamchora, jf stress upende Mwenyewe
Miguu ndo inatembea kutafuta kazi mkuu, ukipata mwili ndo ofisi Sasa unachapa kazi ndo maana yangu hiyoSijaelewa miguu imefanyaje mkuu pole sana.