Kesho Tar 1 Baba Mwenye Nyumba nimpe Hadithi Gani? mbele ya Kodi yake!?

Mwambie kazini kwenu mlipewa likizo ya ramadhan bila malipo so kesho kutwa ndo unarudi mzigoni.
 
Mkuu hii biashara mbona kero sana? Biashara imejaa lawama ni kweli unakuta umempangisha mtu na anafamilia Hali ni ngumu vyazo vya mapato havieleweki hata mlo wa familia unakuwa kipengele ss Kodi hapo ataipata wapi bila huruma Yako. Nimeyapitia haya naelewa hiyo situation.
Kuna miaka Fulani nilipigika sana nikahama chumba Cha double nikahamia single napo ikawa hivyo hivyo msoto mama mwenye nyumba nikamueleza ukweli halisi akaniachia miezi miwili nikae free akanikopesha ni kiasi kidogo Cha pesa nijiongeze mtaji na pesa nikaitumia na familia nje ya malengo aliyotalajia lkn alinivumilia nikapambana mpaka nakuja kutoka hapo nahamia kwenye Banda langu alinisaidia sana ningeadhilika
 
Mzee ukimlipa hela yake kwa wakati mnakuwa marafiki na kutaniana, Ila Sasa Chelewa au msumbue mnakuwa anakuwa adui ghafla kama akujui yani😢 Sina namna ndugu/kaka/ dada na wakubwa mnikoe kwa hili JF imekuwa msaada mkubwa kwangu 0788258979 nimlipe huyu Mzee, nikifanikiwa akili itanikaa Sawa, nimekengeuka tu kidogo
 
Pesa yako ilikuwa ndogo sana. Ningekupatia ila nina hali mbaya sana. Ningekukopea songesha ukawa unalipa wewe mdogomdogo mpaka deni lingeisha
 
Hamia nyumbani kwa baba yako mbinguni mkuu.Nyumba za watu ni kero.
Kudos na njia ya kwenda huko ni very simpo tu, kamba ya manila na mti tu, funga kitanzi vaa shingoni halafu afanye kama anabembea vile.
Awahi akukutane na akina ibrahim, isaka na yakobo
 
Nyumba za kupangisha sio biashara, ni kama huduma tu

Mimi kwa yule mpangaji nisingetumia busara ningeweza kumdharilisha.

Lakini nilimvumilia miezi 7 bila kulipwa Kodi yangu
 
Wanazingua sana mkuu, mwingine ety ooh kesho sikukuu mara sijala....

Insha'Allah tufanikiwe tuwe na kwetu mkuu 👊
Wangu anataka kulipwa siku Ile Ile ya mkataba.. utafikiri pesa kama inaokotwa. Alafu Hana lugha ya biashara,
 
Mwambie Huna kitu akizingua piga makofi mbwa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…