Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.
 
Kesho nchi itasimama wanaccm watajaa wanachadema watajaa kila chama kitakuwepo
 
Yeah gari zangu tatu zimejazwa mafuta full tank kuwapeleka na kuwarudisha baada ya hapo tumemalizana.
 
hii si ya kukosa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…