Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mkuu kwani amekwambia uongo? Ni kweli Mbagala Zakhem haiwezi kutosha kwa ukubwa wa kampeni za CCM. Kuhusu swala la wasanii na miziki, nadhani hata kwenye kampeni zenu miziki husikika, kinachowagharimu nyinyi Ni kukosa hela za kuwalipa tu😂😂.Mna maneno ya kujikweza sana ,kabla ya kuingia ktk mchakato wa Uchaguzi si ninyi mlikuwa mkimpamba Mzee wa Watu kuwa hamna haja ya kampeni kutokana na aliyo kwisha kuyafanya !?.Sasa Dazeni nzima za Wasanii na Matangazo 24Hrs mpaka kwenye Mitaro ya Maji taka ni ya nini !?.Si mngetulia tu kusubiri kunuapisha ?