mirror01
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 1,797
- 1,391
Tundu ndiyo naniPombe ndiyo nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tundu ndiyo naniPombe ndiyo nani
Hao Ni watoto wako wasiojitambua,wakwangu wataendelea na masomo Kama kawaida
Tundu LissuTundu ndiyo nani
so anaunguruma kama Simba Jike au Dume?? au anaunguruma kama mzazi aliepoteza watoto...yaani CCM huyu anahugurumaje??Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo
Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura
pole sana shrtTu
Tundu Lissu
najua wewe ni mwaname!! ila mama ako amezaa kimeo!! Usamehewe na ujaliwe huruma ya Mungu wa UkweliTu
Tundu Lissu
Unaposema wamelazimishwa, kipi ambacho kitawasukuma? watashikiwa bunduki,watafukuzwa shule wasipoenda au? Kama si hivyo naamini wamepewa ruhusa tu ya kufanya hivyo, maana yake kila mtu taenda kwa mapenzi yake. Ukiona hata mtoto wako(mwanafunzi) ameenda kule, ujue kavutiwa na kilichopo kule,na kama angeamua kubaki kujisomea kama wewe unachotaka, hakuna mtu ambae angekuja kumsumbua.Sio watoto wangu mkuu. Ni wa taifa hili na wamelazimishwa kwenda huko. Trust me bila ujinga huu mnaofanya hizo nyomi mngezisikia kwa jirani.
Milango itabidi ifungwe akimaliza kuperform Diamond yasije kujirudia Yale ya ZNZ.TV zote zitaonyesha pia Live
Sababu ni mtanzania asilia sio mhutu kama yule mkimbizi anayegombea tenaMagufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
Kesho nchi itasimama wanaccm watajaa wanachadema watajaa kila chama kitakuwepo
NakaziaKwa hiyo kesho tuna jambo letu na Mondi pamoja na Konde boy hapo uwanja wa Taifa kama kawa
Nashukuru mkuu.Unaposema wamelazimishwa, kipi ambacho kitawasukuma? watashikiwa bunduki,watafukuzwa shule wasipoenda au? Kama si hivyo naamini wamepewa ruhusa tu ya kufanya hivyo, maana yake kila mtu taenda kwa mapenzi yake. Ukiona hata mtoto wako(mwanafunzi) ameenda kule, ujue kavutiwa na kilichopo kule,na kama angeamua kubaki kujisomea kama wewe unachotaka, hakuna mtu ambae angekuja kumsumbua.
Tundu ndiyo naniPombe ndiyo nani
Pombe MagufuliTu
Tundu Lissu
Dah !!!!,mkuu umetisha.Wasanii gani watamsaidia kunguruma hiyo kesho? Siyo tunakuja halafu tunamkuta Peter Msechu pekee akichezesha tu kitambi na ule wimbo wake wa nyota naing'ae.
Nashukuru pia kwa kuwa mwelevu.Nashukuru mkuu.
Ahaa anayeunguruma na Magu au DIAMOND na ALIKIBA?Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.
Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.
Mkuu, hiki si ni kipindi cha kampeni!Muwe mnaweka na akiba ya maneno. Ni aibu unapokua mungo kupitiliza.