Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

matapeli wakubwa nyie mnawalaghai wasioenda shule!.
wasanii wanatumika kujaza "vichwa" ili maccm baadae yatumie hadaa kwamba jiwe anakubalika kwasabb ya wingi wa watu wakati huo sio uhalisia.

hata Hashimu Rungwe angeambatana na kundi la wasanii naye angekuwa na nyomi kubwa tu ya watu kama ya maccm
Kwanini na nyie msitumie wasanii kujaza vichwa?
 
Huyu maimuna kaisaidia nini nchi wakiwamo kina Ben, Azory na hata wale wa kwenye viroba?
Jibu swali acha kurukaruka, nimeamua kukubaliana na nyie kuwa kiongozi Bora ni yule anaejua Kiingereza vizuri. Sasa wewe huko uliko, Kuna kitu chochote umeisaidia Tz(kwakua unajua kiingereza)? Achilia mbali uwezekano mdogo wa wewe kuwa Raisi.Au wewe binafsi Kiingereza kimekusaidiaje hapa TZ?
 
TUNDU = Tobo
TUNDU =Janja janja (Tukutu)
Wazazi mnapowapa watoto majina jitahidini kuwachagulia majina yenye maana nzuri. Jina linaumba tabia.
 
Tanzania ni Nchi ya ajabu.Huwezi amini viwanja vya Mkapa asubhi hii ni kama leo kutakuwa mechi za watani wa jadi.watu kibao.maswali yangu ni
1.Je ni kwamba hawana usingizi au hawana cha kufanya
2.wanampenda sana Magufuli na chama chake
3.wanapenda sana mziki
4.ni wazalendo sana au
5.wamechanganyikiwa na hawajui cha kufanya
Leo uwanja utajaa kabla ya saa mbili baada ya muda huo usije
 
Huyu mzee vipi si aliomba siku 10 apumzike. Salum Mwalimu kumbe naye moto vile. Meko alilete tu wasanii aone atakapoanza hotuba watu watasepaaaa
 
Uwanja umefurika mno saa hii na watu wanaendelea kumiminika
 
tukasherehekeee mafanikio ya miaka 5 ndani ya Jiji la DSM.
Hakuna ubishi JPM ameipaisha Dar ndani ya miaka 5.
naamini tukimpa tena miaka 5 Dar itakuwa kama Singapore
 
Ni vyote kwa mpigo wasanii ni wapiga kura wetu,wapenda matamasha nao ni wapiga kura wetu ,wapenda sera nao ni wapiga kura wetu.Tuna moblize wote na kuwapa kile roho inapenda tarehe 28 October watupe kura

Tukiziomba kura kwa wasanii na wapenzi wao na washabilki wao

After all kwa CCM KAMPENI SIO ENEO LA MSIBA NI LA FURAHA
Nenda kwenye Twitter account ya Pompeo kuna jambo lenu kule..bwa bwa bwa ..dunia haitaki dictators hasa hizi shit hole countries
 
na wewe kuitwq Lowa umelowa wapi?
Tulishakubalia kuto comment chochote anachopost huyu dada, hayuko sawa. Mkuu mbona unavunja makubaliano.wee mwache zake, dawa kumsusia ndo akili itamkaa sawa
 
FB_IMG_1602223691988.jpg

Hizi ni salamu..
 
Sawa pompeo , , , " upcoming elections" alijuaje kama nasi tumo. Kuna watu wanatafutwa. Lissu alisema " kuna watu wataishi Tanzania maisha yao yote, wakitoka nje wanadakwa" akiwa Mwanza majuzi kati akiongea na Wanahabari. Sas wajitie hamnazo Rob Asterdam anakusanya usahidi mpk wa OCD Hai ndani, watakoma.
 
Back
Top Bottom