Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

Weka list ya watumbuizaji mkuu usilete habari nusunusu
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.
Mungu tunakuoba utuepushe na balaa hili kadri ya mapenzi yako
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.
Cant wait to watch my lovely leader is speaking english in front for the people because peoples want to watch direction of their contreee of the five years which will come.

Mitano tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali jina la Tundu kuliko "Pombe" au huyu jamaa anatokea familia ya walevi?
Magufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.
Sema fiesta itaanza sa moja asubuhi .
 
Meko kwisha habari yake. Watanzania wamechoshwa na udhalimu wake.
 
Magufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
Kulikua na aja gani ya kuchanganya lugha mbili kwenye andiko lako? Ulimbukeni huu
 
Kwamba kiongozi bora ni kujua Kiingereza eeh?😂😂 Haya wewe unaekijua umelisaidia nini taifa la Tz? achilia mbali uwezekano wa wewe kuwa Rais.
Hapana. Kuwa borasi lazima ujue Kiingereza ila uwezekano wa kuwa bora (probability) bila Kiingereza ni mdogo sana kwa kuwa unaonyesha uwezo hafifu sana kutokijua baada ya kukisoma miaka yote ile.
 
Magufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
Hili ni jinaa la kabila lake. Tafadhali jenga hoja kama mtu mzima na anaetumia akili yake kupambanua mambo.
 
Hapana. Kuwa borasi lazima ujue Kiingereza ila uwezekano wa kuwa bora (probability) bila Kiingereza ni mdogo sana kwa kuwa unaonyesha uwezo hafifu sana kutokijua baada ya kukisoma miaka yote ile.
Basi kwakua probability ni ndogo sana (si kwamba uwezekano ni zero kabisa)kwa mujibu wa maelezo yako, basi huyu ni miongoni mwa hiyo sehemu ndogo inayowekana kuwepo kati ya moja.

NB: Usipoyaelewa maelezo yangu, kumbuka kwamba,PROBABILITY is always less or equal to one.Kama akili unazo lakini.
 
Nukuu:
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mbona mnakimbia JAMII FORUMS PALACE.

Njooni kule tuone English Yenu.
 
Please aongee kile kingereza chake cha Leo nilikipenda kweli yani.

Vivaa Lissu umelitoa lijitu Gereji lilikoenda kufundishwa brokenii
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
 
Life is not Fair

Anaesemwa hajui English, Ni mtu Mwenye Phd. na jambo kubwa ni Rais wa nchi.

Sasa Yule anaejua English kashindwa hata kuwa Tour guide.
Anazunguka mtaani tu na kuzungumza na waswahili wengine kwa kiswahili.

Jambo kubwa na la ajabu anajiita "BUJIBUJI"[emoji23]
 
Hii sio ya kukosa,

Nitakuwepo Uwanjani mapema kabisa.
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.

Ataongea kile kiingereza cha hovyooo kabisa "your Excellency, I am preaching but I can't reach you. People has sit as a unit in a two country of Malawi and Tanzania"
 
Magufuli yeye anatangaza mafanikio tu hana muda wa taarabu za kina Tundu Lissu. By the way, hivi kwanini walimpa jina TUNDU? Can anyone explain this to me please?
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom