Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

kesho fiesta itakuwepo uwanja wa taifa, kiingilio ni miguu yako TU.
 
Wapuuzi huwa na upumbavu mmoja..KUOTA NDOTO ZA MCHANA NA KUTUNGA MAMBO YALIYOKOSA UHALISIA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......mjomba hivi ni kweli kabisa na wewe umeingia kwenye mkumbo huu wa kutokuwa na subira hadi uanze kutoa lugha za jazba namna hii, jitahidini kuvumilia tu karibu tunamaliza na wala haiumi sana
 
Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama.

Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo.

Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura.
Sisi wa mbezi Luis mabasi tutapandia wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......mjomba hivi ni kweli kabisa na wewe umeingia kwenye mkumbo huu wa kutokuwa na subira hadi uanze kutoa lugha za jazba namna hii, jitahidini kuvumilia tu karibu tunamaliza na wala haiumi sana
Haitabadili uhalisia wa nilichoandika[emoji1536][emoji818][emoji617][emoji777]
 
Hizo ni kampeni au Tamasha la Music ,maana Waeanii kama wote kutumbuiza daaah sawa bana.
Wasanii nao ni wapiga kura wao, hivyo wana haki ya kusherehekea mafanikio ya awamu ya tano.
 
Tafadhalini naomba watuambie mashekh zetu walioko ndani mkifanikiwa tena kuongoza mtawafanyia nini kilamuislam na wapenda haq hili ndioswali lake
WANAACHIWA
WANANYONGWA AU
WANAFUNGWA?
 
Ni vyote kwa mpigo wasanii ni wapiga kura wetu,wapenda matamasha nao ni wapiga kura wetu ,wapenda sera nao ni wapiga kura wetu.Tuna moblize wote na kuwapa kile roho inapenda tarehe 28 October watupe kura

Tukiziomba kura kwa wasanii na wapenzi wao na washabilki wao

After all kwa CCM KAMPENI SIO ENEO LA MSIBA NI LA FURAHA
matapeli wakubwa nyie mnawalaghai wasioenda shule!.
wasanii wanatumika kujaza "vichwa" ili maccm baadae yatumie hadaa kwamba jiwe anakubalika kwasabb ya wingi wa watu wakati huo sio uhalisia.

hata Hashimu Rungwe angeambatana na kundi la wasanii naye angekuwa na nyomi kubwa tu ya watu kama ya maccm
 
Kwamba kiongozi bora ni kujua Kiingereza eeh?😂😂 Haya wewe unaekijua umelisaidia nini taifa la Tz? achilia mbali uwezekano wa wewe kuwa Rais.
Wewe usiekijuwa umeteteaje mashekh tuliseme hili nithwawabu kwa mungu tusiipende sana dunia tuitamani ahera
 
Mtoto wa Dada ameshatoa Tshs ngapi kuwalipa wasanii?
 
Kwamba kiongozi bora ni kujua Kiingereza eeh?[emoji23][emoji23] Haya wewe unaekijua umelisaidia nini taifa la Tz? achilia mbali uwezekano wa wewe kuwa Rais.
Huyu maimuna kaisaidia nini nchi wakiwamo kina Ben, Azory na hata wale wa kwenye viroba?
 
Huyu maimuna kaisaidia nini nchi wakiwamo kina Ben, Azory na hata wale wa kwenye viroba?
Wewe ni mjinga tu!

Endelea kushabikia mambo yenu ya faraga! Habari za maendeleo tuachieni sisi wenye akili.
 
Mtoto wa Dada ameshatoa Tshs ngapi kuwalipa wasanii?
Katoa bilion 7

Vipi ulitaka na Lisu atoe kwani yeye anamtoto wa dada wakati wao kwao mambo ya faragha ndio muhimu zaidi huyo mtoto wa dada atatoka wapi
 
Back
Top Bottom