Raisi Magufuli ataunguruma kwenye kampeni za uraisi Dar uwanja wa Taifa Temeke kesho Tarehe 9 oktoba 2020.Jiji kesho kusimama
Kuanzia saa moja asubuhi wananchi wa Dar wametakiwa kufika mapema kwani SAA moja asubuhi shughuli za kampeni zitaanza rasmi uwanjani hapo
Toka kampeni zianze ni Magufuli pekee ambaye amekuwa akijaza umati mikutano yake mida ya asubuhi tofauti na wengine wa vyama vingine ambao mikutano yao hufanyika jioni giza likiwa linaingia na picha zinazopigwa zikiwa zimejaa Giza wahudhuriaji hawaonekani hata sura