Uchaguzi 2020 Kesho tarehe 9 Oktoba 2020 Dkt. Magufuli kunguruma kampeni uwanja wa Taifa, shughuli kuanza saa moja asubuhi

Ndonini hichi mbona broken hivi nukuu ya nini?
 

Mlivyokuwa wapumbavu mnadhani mafanikio katika maisha ni hadi muwe marais hata kama hampendeki achilia mbali kuwa hata kuelimika ni shida.

Ni kwa upumbaav huo huo ndiyo maana mko tayari kuuwa, kuteka na hata kupoteza watu ili mbakie madarakani.

Mlivyokuwa wapuuzi zaidi mnadhani kila mtu ni kama nyie.

Anayepiga magoti kutafuta huruma ya watu ili amalizie anayoita miaka yake 5, anayekwenda kusonga ugali kama kampeni au kufagia ni nini kitamsimamisha kufanya nini ili apate anachodhani ni achievement yake ya lifetime mburula nyie?

Angalieni na wala macho wapo!
 
leo ndiyo hiyo hapo live uwanja wa taifa
 
leo ndiyo hiyo hapo live uwanja wa taifa
Mkuu, kwa nilivyoona hapa uwanjani kweli kulikuwa kuna haja kuchukua uwanja huu? Mbona Mbagala tungeenea na nafasi kibao kubaki? Maana sasa anajiandaa kuongea Magufuli then shughuli imeisha.
 
Kuwatetea mashekh sio hoja yamsingi ultaka nilete mambo yangono ?
Umenielewa vibaya mkuu.Kuwatetea mashekh ni hoja ya msingi, Ila haiingiliani na point yangu ulioiquote, ndomaana nimekwambia huna hoja ya msingi.

NB:Hoja huwa ya msingi, kulingana na mada inayojadiliwa.
 
Umenielewa vibaya mkuu.Kuwatetea mashekh ni hoja ya msingi, Ila haiingiliani na point yangu ulioiquote, ndomaana nimekwambia huna hoja ya msingi.

NB:Hoja huwa ya msingi, kulingana na mada inayojadiliwa.
Haya kk lakini mnaponitajia mtu huyu nakumbuka alivyonifilisi hata kulakwangu kumekuwa kwashida kwakazi yangu halali kaiua kabisa sasa tambua unampromoti huyu lazima utakutana nawatu wenye machungu hapa mm niccm lakini kwahuyu hapana nasikitikia kura yangu niliyompa 2015
 
Pole mkuu,ilikuwaje?
 

Uwanja wa TAIFA ni Mali ya ccm?

Lisu anaruhusiwa kufanyia KAMPENI ndani ya uwanja wa TAIFA?

Maadili hayaruhusu Watumishi wa UMMA kutoa ahadi au misaada ya ujenzi wa barabara, VITUO vya AFYA.

jpm, Majaliwa wanapishana kutoa MAELEKEZO, ahadi na pesa tasilimu kwa ujenzi wa barabara, VITUO vya AFYA na mambo kama hayo.

MAADILI YANAKIUKWA.

TUME YA UCHAGUZI MKO WAPI?

WAPINZANI WA CCM PELEKENI PINGAMIZI JUU YA CCM NA MGONBEA URAIS WAO KWA KUKIUKA MAADILI YA UCHAGUZI.

PIA CHUKUENI USHAHIDI KWA AJILI YA BAADA YA UCHAGUZI.
 
Pole mkuu,ilikuwaje?
Bwana kwanza asante. Walikuja tokomeza uvuvi haram ziwa tanganyika watuambia tuwaonyeshe vyavu zetu zakuvulia kiukweli nyavu zetu tulikuwa tunafanya kazi kwa leseni yauvuvi hivyo tuliwaonyesha kwalengo lakuzipima kilichotokea baada yahapo walisema zipo sawa lakini kamahuna pesa tunazichoma ndipo tukafikiri wanatania tulijuwa mizalivigezo viposawa hawezi kuzichoma kwa kutaka pesa ambazo kimsingi sizo zilizo waleta tulijuwa kilicho waleta nikama zana sizo ndio wanachoma nahawaombi pesa
Kufumba nakufumbua baada yakuona hatoi pesa wakachoma na kuteka engiene zetu mpaka sasa wanazo kijiji kimoja kinaitwa ikola wanasema tukazinunue tena kwao
Kilicho nifanya niamini nihuko juu wanahusika kwenye unyama huu kuna kipindi mpina alisema wavuvi twende tukachukue malizetu tulijaribu kufatilia majibu yakawa hukuchini hawana barua nawao hawafanyi kaz kwa matamko. Basi ndugu yangu hiyo ndio umaskini wangu uliingilia hapo
 
HAITUHUSU
 
Aiseeeh pole Sana mkuu, nawaza kukusaidia kuhusu hilo, Ila sijakuelewa umesema wewe Ni mvuvi wa wapi?
 
Aiseeeh pole Sana mkuu, nawaza kukusaidia kuhusu hilo, Ila sijakuelewa umesema wewe Ni mvuvi wa wapi?
Ziwa tanganyika kigoma kusini mkuu wamsafara tulimtambua kwajina lamarwa uvuvi niwamitumbwi 2 maarufu unaitwa kipe tunavua kwenye kina kirefu sana nimbali sana na fukwe kwelikweli ni uvuvi salama kabisa kama unaweza kunisaidi mkuu mm nibaba ninamke watoto 7
 
Kijana wangu ingia PM yako, ili kabla ya kuendelea zaidi, ujue unataka msaada kutoka kwa Nani.
 
Kijana wangu ingia PM yako, ili kabla ya kuendelea zaidi, ujue unataka msaada kutoka kwa Nani.
Nipe muda tafadhali lakini muhanga siomm pekeyangu nimwambaomzima kama kweli upokwaajili yakutusaidia naomba ongea nae huyo bwana afike huko atatuhoji tutampa ushirikiano
 
Nipe muda tafadhali lakini muhanga siomm pekeyangu nimwambaomzima kama kweli upokwaajili yakutusaidia naomba ongea nae huyo bwana afike huko atatuhoji tutampa ushirikiano
Sawa mkuu,Hilo Ni swala dogo,ukiwa tayari utanijulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…