kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
@Moderator naomba muedit title sio kesho ni keshokutwaNi kesho kutwa siku ya Jumapili 28/05/2023 mtani...
#WHYNOTUS# [emoji617]
Hili ni suala la nchi sio ushabiki mwana lunyasi mwenzanguHuyu ni Utopolo kweli hata Timu yake hajui inacheza lini,Simba hatuna muda mchafu kushabikia Yanga yenye mashabiki malimbukeni Go to hell
Sifanyi ujinga huoHili ni suala la nchi sio ushabiki mwana lunyasi mwenzangu
Fanya kwa faida ya nchi mama mwanalunyasi mwenzanguHe
Sifanyi ujinga huo
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.
Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu
Simba
Nguvu moja
Kama yupo shabiki au mwanachama wa Simba Sports Club anayeiombea Yanga ishinde basi huyo atakuwa Mwendawazimu...Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.
Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu
Simba
Nguvu moja
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.
Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu
Simba
Nguvu moja
naitakia kila la kheri USM Algiers FC
Kama yupo shabiki au mwanachama wa Simba Sports Club anayeiombea Yanga ishinde basi huyo atakuwa Mwendawazimu...
Yanga 0 - USM 2 FT
naitakia kila la kheri USM Algiers FC
Ni suala la kinchi twendeni tukawasapoti watani hawa sio maadui zetu ni wataniUnafiki ndo kitu sina,wana timu nzuri ila siwezi enda taifa kuangalia mechi ya uto,huo unafiki sina kwa kweli.
Halafu baada ya DK 90 wakishinda waendelee kukutukana!Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.
Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu
Simba
Nguvu moja