Kesho tuungane kuleta heshima nchini

Kesho tuungane kuleta heshima nchini

Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja

Wewe ni utopolo acha kutulazimisha kwenda uko uwanjani wewe nendaa mzee
 
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja
Kama yupo shabiki au mwanachama wa Simba Sports Club anayeiombea Yanga ishinde basi huyo atakuwa Mwendawazimu...

Yanga 0 - USM 2 FT
 
Unafiki ndo kitu sina,wana timu nzuri ila siwezi enda taifa kuangalia mechi ya uto,huo unafiki sina kwa kweli.
 
Kama mwanachama wa Simba tawi la mpira pesa nitaungana na Yanga kuleta heshima nchi hii.

Wanalunyasi wenzangu tuungane pamoja katika hili. Tuweke historia kubwa kuleta kombe hili nchini mwetu

Simba
Nguvu moja
Halafu baada ya DK 90 wakishinda waendelee kukutukana!

Tangu lini shetani akaombewa mema?
 
Back
Top Bottom