Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Hii ni kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi,vilevile wanadai mazingira mazuri ya kusomea na malazi.matangazo ya kuhamasisha mgomo,yamezagaa kila kona ya chuo,wanafunzi wote wamehamasishwa kufika revolution square kabla ya saa 1 asubuhi,rout itakua ni kuelekea ikulu kumuona mheshmiwa rais kufikisha malalamika yao.