Kesho wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wanaanza mgomo rasmi.

Kesho wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wanaanza mgomo rasmi.

Wat wanatamani kupata wakuwajaribia..jaribuni kugoma tuwajaribie...a see mikono inaniwasha na hapa tuko full gwanda
 
Majina ya mkopo yamewekwa,na muda wowote watu wataanza kusign,ila asubuh ffu waliwahi kuweka ulinzi kila kona ya chuo.
 
Hiyo kuleta Policy ni Gun boat Diplomacy ya kuwatishia nyie vilaza msidai haki zenu za msingi,kama kweli mmefuata hatua za kugoma gomeni ila kama bado hamjajipanga cheueni mana mtalosti bila political agenda
 
Acheni wenge...DIT ni wiki ya 3 sasa kimyaaa!tulizeni ball pesa tapata.
 
mgomo ulikuwa wa 2008,ukafuata ule wa 2011 febr. ambao route ya kwenda ikulu iliishia survey. ila wa masharobaro hawa wa leo,route hata udasa hawafiki,washapoteana.
 
Ligedege 1 Maandamano yaliyofika survey hadi mliman city ni ya 2004 ya kupinga sera ya mkopo. 2008 yaliishia geti ardhi na 2011 yaliishia nnje tu ya geti maji maana ndani ya chuo mwanafunzi hapigwi bom
 
2011 ngoma iliishia survey,tukapigwa bom,tukarudi ardhi ndan ya fensi na kuwarushia mawe ffu,wakamwaga maji,tukakimbilia geti maji,huko ndio kiama kilipotufika na wanaharakati kudakwa.kumbuka kulikuwa na migomo mi 2,wa coet na mangwini. coet wakafukuzwa.
 
Hahahaaaa ukweli ni kwamba ukishafika survey huwezi kurudi chuo labda mtaani. Survey ni baada ya kuvuka daraja ndugu. Mliishia njia panda ya makongo jamaa hahahaaa gari yangu ilipigwa stop survey isiingie eneo la chuo
 
Attachments

  • 1399314001574.jpg
    1399314001574.jpg
    36.6 KB · Views: 131
hahahaaaa ukweli ni kwamba ukishafika survey huwezi kurudi chuo labda mtaani. Survey ni baada ya kuvuka daraja ndugu. Mliishia njia panda ya makongo jamaa hahahaaa gari yangu ilipigwa stop survey isiingie eneo la chuo

pole mkuu. Kumbe tulikutesa kidizaini flani. Tusamehe,..
 
hahahaaaa ukweli ni kwamba ukishafika survey huwezi kurudi chuo labda mtaani. Survey ni baada ya kuvuka daraja ndugu. Mliishia njia panda ya makongo jamaa hahahaaa gari yangu ilipigwa stop survey isiingie eneo la chuo

tulifika hadi pale geti la mlimani cty la mwanzo toka survey,mabom yakapigwa pale,wengne wakazamia kitaa,baadhi walirudi mbio hadi ardhi,kufika geti la udsm,ffu wengne wametokea get maji.madenti wakawa kati,wakazamia ardhi na kuwauzia kesi ardh kwa muda,then ngoma ikahamia geti maji...weee pakachimbika
 
UDSM ilikuwa zamani leo hii watoto wengi sana so mtaishia hapo hapo square hamtaenda popote.

Hawana lolote hawa watoto.. Rev. square yenyewe siku hizi nyasi zinafika magotini..!
 
Hii ni kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi,vilevile wanadai mazingira mazuri ya kusomea na malazi.matangazo ya kuhamasisha mgomo,yamezagaa kila kona ya chuo,wanafunzi wote wamehamasishwa kufika revolution square kabla ya saa 1 asubuhi,rout itakua ni kuelekea ikulu kumuona mheshmiwa rais kufikisha malalamika yao.

Mnashangilia................ ndo mwanzo wa wengine kupata vilema vya kudumu.

Hamjui kuwa fedha nyingi zilihamia dodoma kwenye bunge la katiba?

Kuweni wavumilivu na wenye busara katika kutumia boom.

Haya ndo madhara ya kukimbilia simu za gharama, mnaanza lia lia njaa.
 
Migomo hamuiwezi watoto. Ulizieni mwaka tisini na mid ndiyo utaelewa. Mgomo mnatangaza eti na route? Wenzio wanashtukiza tu wameshafika ofisi husika.
 
Mimi nilidhani mlitaka kumng'oa Waziri wa Elimu kumbe mwanafunzi mwenzenu.

Bangi mbaya sana.. tunaongelea mgomo wa chuo.. wewe unaongelea mawaziri mizigo.. hiyo ni kazi ya kinana
 
safari hii tutawavunja nyie wa udsm, miguu sisi polisi tumejipanga. Tatizo lenu mkipewa mikopo hela mnaenda kula bata. Safari mtakuwa viwete. Shenz zenu.
 
safari hii tutawavunja nyie wa udsm, miguu sisi polisi tumejipanga. Tatizo lenu mkipewa mikopo hela mnaenda kula bata. Safari mtakuwa viwete. Shenz zenu.

na wewe ni mbwa wa ccm??
 
Back
Top Bottom