Kesho wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wanaanza mgomo rasmi.

Kesho wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam wanaanza mgomo rasmi.

mahine....Eti mgome?
Hakuna mgomaji hapo.Eti unapita chuo unasikia wanachuo wanasikiliza nyimbo za diamond!
hahaha ama kweli hiki kizazi cha facebook taabu tupu,wanasikiliza my no 1
 
Kwa sasa ni udsm ni waoga hawana lolote.. wao ni ndio mzee.. nikikumbuka tulivotaka kumng'o raisi wa Daruso.. saimoni kipara.. kweli udsm ilikuwa kiboko
 
Naona mlio wengi mmejikina na maneno hawawezi, wataishia hapo hapo n.k.
Naona watu bado wanachuki kwenye nyoyo zao dhidi ya UDSM(tuachane nayo hayo). Pengine nahisi labdo ni njaa imewapana huko waliko na wanaona watumie njio hio kuwaongezea hasira wanaudsm, wakiwa na malengo kua mafanikio watapata wote!
Acheni mawazo finyu. Tambueni kua mgomo ulioanzisha na UDSM uliozaa matunda ya kupanda kwa bumu uliungwa mkono na wanachuo makini wa vyuo vyote Tz.
Mimi naona mngeungana na kutetea haki yanu mkiwa kama kitu kimoja. Tambueni umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
hawawezi kuungana kamwe,kuna wanafunzi privates,sijui asilimia 60,sijui asilimia 20.tofauti nyingi kugoma wote ni ngumu
 
Ila kiukweli vyoo vya udsm ni vichafu tena main campus mh!? Bora mabibo hostel!! Pia kwa viongozi pale extension pia vyoo ni visafi!! Huyo loan ofisa kuna siku NUSU NIMLAMBE VIBAO yaani ile ofisi anaona kama ya baba yake pumbafu sana
 
Kwa sasa ni udsm ni waoga hawana lolote.. wao ni ndio mzee.. nikikumbuka tulivotaka kumng'o raisi wa Daruso.. saimoni kipara.. kweli udsm ilikuwa kiboko
Mimi nilidhani mlitaka kumng'oa Waziri wa Elimu kumbe mwanafunzi mwenzenu.
 
mkishapewa hela zenu za chakula na malazi , hamna ata moja atakaekumbuka kua vyoo ni vichafu.

Ila kiukweli vyoo vya udsm ni vichafu tena main campus mh!? Bora mabibo hostel!! Pia kwa viongozi pale extension pia vyoo ni visafi!! Huyo loan ofisa kuna siku NUSU NIMLAMBE VIBAO yaani ile ofisi anaona kama ya baba yake pumbafu sana
 
wanasoma pamoja ila wako aina kama kumi hivi utarajie waongee kwa lugha moja!kazi ipo
 
Hakuna cha mgomo wala nn, nyie endeleeni kucheza ngololo huko mabibo...
 
Nashauri tuzingatie bajeti yetu. Inawezekana fedha zilipangwa kwenye bajeti yao lakini fedha hakuna na zimetumika kwenye mambo mengine kama Bunge maalum la Katiba, Sherehe ya Muungano na safari ya wakubwa majuu. Tuwe na vipaumbele jamani. Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukosa fedha zao ambazo ni halali yao ni fedheha kubwa sana.
 
1952 unajua unachokisema au mradi yamekutoka ya kuandika? Nyie ndiyo wale mliozoea kusoma magazeti ya uhuru unaokota jambo hilo ndiyo ulichampion, au Tanzania Daima unalichampion. Muungano ulijulikana toka mwanzo wa mwaka, katiba ilijulikana toka mwanzo wa Mwaka leo ndiyo useme hela za wanafunzi limechukuliwa na safari za wakubwa? Unajua gharama halisi ya hao wanafunzi kwa awamu moja ni bei gani? Nimeuliza jana is more that 20 bilioni. Waulize wanafunzi wanapaswa kupewa fedha zao lini?
 

Wamebandika majina ya kusaini kwa conas na coet. Ila asubuhi zimeonekana gari za FFU zikizunguka maeneo ya utawala na pale kona ya university road kuelekea geti maji. Kwa sasa watu wametulia na hatujui kitakachoendelea maana naona kuna ukimya pia masomo yanaendelea kama kawaida.
 
Huu ni mshi2ko ambao unaweza kumpata m2 yeyote bila kujali jinsia yake.
 
Back
Top Bottom