Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
hahaha ama kweli hiki kizazi cha facebook taabu tupu,wanasikiliza my no 1mahine....Eti mgome?
Hakuna mgomaji hapo.Eti unapita chuo unasikia wanachuo wanasikiliza nyimbo za diamond!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha ama kweli hiki kizazi cha facebook taabu tupu,wanasikiliza my no 1mahine....Eti mgome?
Hakuna mgomaji hapo.Eti unapita chuo unasikia wanachuo wanasikiliza nyimbo za diamond!
hawawezi kuungana kamwe,kuna wanafunzi privates,sijui asilimia 60,sijui asilimia 20.tofauti nyingi kugoma wote ni ngumuNaona mlio wengi mmejikina na maneno hawawezi, wataishia hapo hapo n.k.
Naona watu bado wanachuki kwenye nyoyo zao dhidi ya UDSM(tuachane nayo hayo). Pengine nahisi labdo ni njaa imewapana huko waliko na wanaona watumie njio hio kuwaongezea hasira wanaudsm, wakiwa na malengo kua mafanikio watapata wote!
Acheni mawazo finyu. Tambueni kua mgomo ulioanzisha na UDSM uliozaa matunda ya kupanda kwa bumu uliungwa mkono na wanachuo makini wa vyuo vyote Tz.
Mimi naona mngeungana na kutetea haki yanu mkiwa kama kitu kimoja. Tambueni umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
hahaha ama kweli hiki kizazi cha facebook taabu tupu,wanasikiliza my no 1
matangazo yamewekwa lini na wapi nilikua chuo adi jana usiku sikuona kitu.
Mimi nilidhani mlitaka kumng'oa Waziri wa Elimu kumbe mwanafunzi mwenzenu.Kwa sasa ni udsm ni waoga hawana lolote.. wao ni ndio mzee.. nikikumbuka tulivotaka kumng'o raisi wa Daruso.. saimoni kipara.. kweli udsm ilikuwa kiboko
Mimi nilidhani mlitaka kumng'oa Waziri wa Elimu kumbe mwanafunzi mwenzenu.
Ila kiukweli vyoo vya udsm ni vichafu tena main campus mh!? Bora mabibo hostel!! Pia kwa viongozi pale extension pia vyoo ni visafi!! Huyo loan ofisa kuna siku NUSU NIMLAMBE VIBAO yaani ile ofisi anaona kama ya baba yake pumbafu sana
updates?