matangazo yamewekwa lini na wapi nilikua chuo adi jana usiku sikuona kitu.
Wakishaanza kujitokeza waoga kama wewe hakuna mgomo hapo....
But mjiandae na vitu vyenye ncha kali maana Kova naye anatamani kuwa IGP siku moja
Hawa vijana wanaovaa mlegezo wanajua kugoma kweli? lamda wagome kula kama alivyosema mchangia mmoja hapa. Haya tungoje tuone
Mgomo wa mwisho wa kueleweka kabisa kwa udsm ulikua wa mwaka 2008 tukiwa na kina Mtatiro, baada ya hapo zimebaki kelele tu.