Ligedege 1 Maandamano yaliyofika survey hadi mliman city ni ya 2004 ya kupinga sera ya mkopo. 2008 yaliishia geti ardhi na 2011 yaliishia nnje tu ya geti maji maana ndani ya chuo mwanafunzi hapigwi bom
Acheni wenge...DIT ni wiki ya 3 sasa kimyaaa!tulizeni ball pesa tapata.
hahahaaaa ukweli ni kwamba ukishafika survey huwezi kurudi chuo labda mtaani. Survey ni baada ya kuvuka daraja ndugu. Mliishia njia panda ya makongo jamaa hahahaaa gari yangu ilipigwa stop survey isiingie eneo la chuo

UDSM ilikuwa zamani leo hii watoto wengi sana so mtaishia hapo hapo square hamtaenda popote.
Hii ni kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi,vilevile wanadai mazingira mazuri ya kusomea na malazi.matangazo ya kuhamasisha mgomo,yamezagaa kila kona ya chuo,wanafunzi wote wamehamasishwa kufika revolution square kabla ya saa 1 asubuhi,rout itakua ni kuelekea ikulu kumuona mheshmiwa rais kufikisha malalamika yao.
Mimi nilidhani mlitaka kumng'oa Waziri wa Elimu kumbe mwanafunzi mwenzenu.
safari hii tutawavunja nyie wa udsm, miguu sisi polisi tumejipanga. Tatizo lenu mkipewa mikopo hela mnaenda kula bata. Safari mtakuwa viwete. Shenz zenu.