Ingekua enzi za Magu kwanza kusingekua na sherehe pili angetoa tamko gumu kumeza la kuchapa kazi lakini huyu mama ndio kwanza kesho watumishi kibao hawataingia kazini mpaka jumatatuuuu na kodi zetu zimewalipa leo kwenda Singida
Nikupe ushahidi idadi ya waliolala nyumbani leo ? Nasema vitu vinavyofanyika na nina uhakika navyoHivi unawafanya watumiahi wajinga sana hawajui taratibu za kabisa
Halafu,unasema ingekua magu, kusingekua na sherehe,hivi ye alikua hahudhurii sherehe za may mosi?
Hivi unapata faida Gani kudanganya watu,unaona huku wote ni watoto eeh?
Na sijui unafaidika Nini kudharau serikali iliyopo madarasani Kwa Sasa.
Hata,usione umejificha, somebody is watching you.