Kesho watumishi wengi hawataingia kazini watakua wakisherekea kuongezwa posho

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Ingekua enzi za Magu kwanza kusingekua na sherehe pili angetoa tamko gumu kumeza la kuchapa kazi lakini huyu mama ndio kwanza kesho watumishi kibao hawataingia kazini mpaka jumatatuuuu na kodi zetu zimewalipa leo kwenda Singida
 
Wafanyakazi wa chadema kesho tuingie kazini kama kawaida wakuu
 
Hivi unawafanya watumiahi wajinga sana hawajui taratibu za kabisa
Halafu,unasema ingekua magu, kusingekua na sherehe,hivi ye alikua hahudhurii sherehe za may mosi?
Hivi unapata faida Gani kudanganya watu,unaona huku wote ni watoto eeh?
Na sijui unafaidika Nini kudharau serikali iliyopo madarasani Kwa Sasa.
Hata,usione umejificha, somebody is watching you.
 
Kwaiyo mzee furaha yako ni watu waishi maisha duni na kazikazi na vimishahara mbuzi??
 
Ingekua enzi za Magu kwanza kusingekua na sherehe pili angetoa tamko gumu kumeza la kuchapa kazi lakini huyu mama ndio kwanza kesho watumishi kibao hawataingia kazini mpaka jumatatuuuu na kodi zetu zimewalipa leo kwenda Singida
Your browser is not able to display this video.
 
Siasa inakufanya mtu unakuwa mjinga, kila kitu ni kupinga/kuangalia kwa mtazamo hasi tu,!
 
Nikupe ushahidi idadi ya waliolala nyumbani leo ? Nasema vitu vinavyofanyika na nina uhakika navyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…