Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Iz ze gavamenti of ze PEOPLE bai ze PIPO...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa WA- TANZANIA WOTE.....Na mwenye masikio na asikie neno hili
BAELEZE BAKUELEWE JASUSI
ccm ni sikio la kufa
Hii amsha amsha ya Lissu ni mwezi 1 tu ila imewachanganya hawaamini!
Kule ba kukaya tunasemaga IMEKISHA bakirudi mupancha.....sebene sebeneBAELEZE BAKUELEWE JASUSI
ccm ni sikio la kufa
Hii amsha amsha ya Lissu ni mwezi 1 tu ila imewachanganya hawaamini!
Kuna fowadi jina lake PITA TINO washabiki bakiondoka muwanjani YEYE hubharudisha.Jasusi unamaanisha wale naowategemea wanaweza kumkacha wiki ijayo.
Iz ze gavamenti of ze PEOPLE bai ze PIPO.......
Atawacha ccm kwenye mataa siku anakabidhi nchi kwa lisu
Mbona miaka yote 5 hakufanya hayo manadiliko? Mjinga akijitambua huwa haludi nyuma.
Usijigeuza kuwa wewe ni msemaji wa watanzania mpumbavu wewe. Jiongelee kwa nafsi yako acha kutushirikisha bwege wewe. Kutwa kupiga piga propaganda zisizokuwa na maana yoyote.Ni punguani tu, anaye amini huyu Anti-Pas Lissu atashinda. Watanzania sio wajinga, kuwapa genge la wahuni na mawakala wa mashoga kutawala hii nchi. Tanzania ya kijani inakuja. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki CCM.
Masaa ya Ukombozi yanakaribia tujitwalia Uhuru wetu kwa kura zetu. Kwenye diplomasia ya utawala kuna msemo wa kiswahili wenye maana sana unasema, "Wali wa kushiba huonekana kwenye sahani". Hii inamaana kwamba Lissu anashinda Uchaguzi huu uwe unapenda au hupendi. Sasa kwenye siasa za vyama vingi unapokuwa kiongozi uliyepo madarakani katika uchaguzi ulio mbele yako ambao wewe ni sehemu ya mshiriki, dalili za kuanguka huanzia kwenye chama chako Kisha huja kwenye serikali unayoiongoza.
Ukiona hayo, kidiplomasia huwa tunaanza kutengeneza njia zako za kesho hasa za maslahi yako na ya wakuzungukao, Bahati mbaya wengi kwakibri cha madaraka huwa hawaoni hili. Hapa unaanza kutafuta kitu kinaitwa maridhiano, haijalishi una majeshi, ama una polisi. Ifahamike kuwa kwenye Vita vya madaraka majeshi hukuunga mkono hatua za mwanzo tu kutisha umma na kukujaza kibri kuwa yatakulinda utabaki madarakani, Lakini hali ikivuka kipimo kidogo cha kiusalama, Jeshi la umma hujitenga nawe hukaa kwa waliowengi.
Sasa kwa mtawala anayeiangalia kesho yake na washauri wake wanaoiangalia kesho yao, humshauri mtawala kutafuta njia rahisi na salama ya kupita na kuiona kesho na kuiishi kesho.
Kwa mifano ya karibu kabisa ya walioona upepo wa kuanguka kwa vyama vyao na wakapuuza au wakakwepa kizuizi cha kuiona kesho, ni Joseph Kabila kule Kongo, Hayati Nkuruzinza kule Burundi, Daniel Arap Moi kule Kenya, nk. Na mifano ya waliokomaza shingo yakawakuta ni Laurent Gbagbo kule Ivory coast, Charles Taylor kule Liberia, Yahya Jammeh wa Gambia nk. Ukiachilia mbali Zambia, Malawi nk.
Nitumie fursa hii kuwashauri CCM popote walipo kwa ngazi zote kuanzia Mwenyekiti wao Taifa ndugu Magufuli, hadi akina Chakubanga, waanze kutafuta maridhiano ya kidiplomasia wakati wakijiandaa kukabidhi madaraka wiki hii, Njia nzuri ya kuondoka madarakani ni kuondoka huku ukiijua kesho yako (Kikatiba) kuliko kutumia muda huu kufikiria ma V8 na anasa zingine katika utawala unaoondoka.
Kwamjibu wa Katiba, mkikabidhi madaraka kwa hiyari ya Kikatiba, maslahi yenu yatalindwa Kikatiba. Fikirieni kinyume chake kisha kesho yenu na vizazi vyenu.
Ni ushauri tu, kuanzia wiki ijayo mtanikumbuka na kunishukuru.
Na Yericko Nyerere
Siku hiyo nafanya surprise kwa familia yangu, naingia zizini nachagua mwanandama aliyenona namchinja tule, tufurahi na jamaa zangu!Itakuwa ni shangwe kwangu mm na Watanzania ambao tumeonewa ktk miaka hii 5 endapo tu huyu dikteta uchwara atatuachia magogoni kwa amani.
Nami nimewaza hivyo, ikitokea hivyo ndipo mzee atajua kua hana ushawishi wowote watu walikua wanaheshimu madaraka yake tu.Jasusi unamaanisha wale naowategemea wanaweza kumkacha wiki ijayo.