Hii siku ifike kwakweli Kama Aishivyo Mungu wa Eliya na atatenda makuu.Nami nimewaza hivyo, ikitokea hivyo ndipo mzee atajua kua hana ushawishi wowote watu walikua wanaheshimu madaraka yake tu.
Kama namwona mzee atavopanic full kupiga masimu anajibiwa usitufundishe kazi wananchi wameshaamua kujaribu kufanya vinginevyo ni kutaka kuleta maafa, mara paaaap mzee kaanguka chini pressure na sukari vipo juu mara wimbo wa taifa unapigwa, mitaa inalipuka kwa shagwe, taratibu za mazishi zinafanyika kisha tunaendelea na harakati za kuijenga mama Tanzania.