Uchaguzi 2020 Kesho ya WanaCCM ipo miguuni mwao kujitakasa mbele ya Rais Lissu

Hii siku ifike kwakweli Kama Aishivyo Mungu wa Eliya na atatenda makuu.
 
Ubarikiwe ndugu.
 
Eti Yericko walikuwa wanakusema humu kuwa umesusa,kumbe hawakujua ulikuwa kazini kuwaletea kipande cha ripoti.
 
Lissu amejibu (VOA) anafanya kampeni bila kuzingatia tahadhari za CORONA kwa sababu sio tatizo Tanzania. Amekiri kuwa walikosea kumpinga JPM. Kenya imewagharimu mikopo ya zaidi ya dola 2.4bn, biashara nyingi kufa! Uongozi ni maono jamani!Sio kuiga tu !Tumebahatika JPM ana maono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…