Kesho yanga tunashinda sio chini ya bao mbili

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Yanga in top 3 coach wenye kiwango Cha kimataifa hamsemi

Kesho tunashinda Tena kipindi Cha kwanza bao mbili au zaidi.

Mmejificha kwenye mgogoro wakati Ni movie ya
kutengeneza Kama nyie mlivyotengeneza ya kuelekea kigoma.

Kesho mnapigwa za kutosha na mabeki wazee wale
Ushauri msiende na matokeo mfukoni mtajinyea kesho.

Hapa Nabi, hapa Kaze uku Zahera mtachomokaje?
 
Labda bao mbili kwa mama J
 
Mechi za derby hua hazitabiriki.

Wachezaji hua wanajitoa sana, katika hizi mechi ambaye atakua ana uchu na sifa kumzidi mwenzake ndiye mshindi.

Mambo ya tuna fulani na fulani kwenye derby usiyape sana uzito. Arsenal tukiwa katika ubovu wetu tulimlamba chelsea tatu na second leg akafa moja bila.
 
Labda bao la mkono
 
Sema mashabiki wa Uto kuna mda signal zenu zinakuwa weak.Yani hao makocha mnaosifia hamjui kwamba wawili mliwahi kudai hawajui chochote na mkawafukuza. Sawa bhana ngoja na huyu mwarabu nae apewe mkono wa kwaheri kesho.
 
Mbaya zaidi kaze alifukuzwa kwa shinikizo la Msolla/mwakalebela(Yanga maskini)sasa karudi ni rasmi anko msolla hatakubali kuondoka kizembezembe, tuko pamoja uncle tunasubiri kesho Mzee Magoma aliamshe dude baada ya watu kuchezea goals 3 yakiwepo mawili ya Sakho
 
Wachezaji gani wa kuifunga Simba,hawa walipigwa mechi tatu za nyuma mfululizo au kuna wapya?
 
Usajili pekee mliofanya vizuri msimu huu ni wa msukule,, kaupiga mwingi sana kule Nigeria especially kwenye kitengo cha ukocha na kususa,, huyo kaze hana jipya tunamjua mzee wa droo
 
Usajili pekee mliofanya vizuri msimu huu ni wa msukule,, kaupiga mwingi sana kule Nigeria especially kwenye kitengo cha ukocha na kususa,, huyo kaze hana jipya tunamjua mzee wa droo
alikuwa anasema ok guys war zere war zere on ze pitch sisi nje tushafanya kazi yetu, jamani heeee
 
Wachezaji gani wa kuifunga Simba,hawa walipigwa mechi tatu za nyuma mfululizo au kuna wapya?
Sema mechi tatu za mwisho ili ueleweke vizuri. Na wakati huo huo utupe na matokeo ya mechi tatu hizo hizo za mwisho za timu yako ya mbumbumbu fc ili tulinganishe.
 
alikuwa anasema ok guys war zere war zere on ze pitch sisi nje tushafanya kazi yetu, jamani heeee
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mseng%%e kweli yule qumaake afu eti anajitamba kaipa simba ubingwa,, mikelele yake ile nani atamuelewa pale simba kwa wale wachezaji wa kigeni kwa kiingereza kile cha kwa mwalimu juma njunju wa tuisheni bonde la msimbazi, bora angeenda hata kwa ras simba😄
 
Sema mechi tatu za mwisho ili ueleweke vizuri. Na wakati huo huo utupe na matokeo ya mechi tatu hizo hizo za mwisho za timu yako ya mbumbumbu fc ili tulinganishe.
Mechi tatu za Simba za mwisho kashinda mechi mbili moja kafungwa na Mazembe.
 
Mechi tatu za Simba za mwisho kashinda mechi mbili moja kafungwa na Mazembe.
Simba kacheza mechi mbili na Waarab akiwa Morocco, mechi zote alitoa sare. Kacheza mechi na Coastal Union kimya kimya, nayo nasikia alitoa sare! Na mechi ya mwisho ndiyo kafungwa na Tp Mazembe.

Hizo mechi mbili za mwisho alizoshinda kabla ya Mazembe, alicheza na nani? Ufafanuzi tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…