Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

namba ya smu ulotumia na email vinaweza kusaidia kujua wewe ni nan!
labda u delete email na namba ya cm ufanye manuva wa badilishe apewe mbibi kolomije huko!
halafu records zote zifutwe!
KAMA namba ya simu aliyoitumia aliinunua mpya maalum kwa kutolea taarifa iyo na baada ya hapo akaitupa utampataje,,,,
 
Kumbe mimi nikitoa thread ya uongo INASHTAKIWA JF? Kuna watu wameituhumu OilCom tena siku chache zilizopita
Jamhuri wanakosea sana, hizi tuhuma zinazotolewa wanatakiwa wazichunguze kabla ya kuchukua hatua, tena hilo wanatakiwa walifanye kwa siri na endapo wakijirizisha ndio wachukue hatua.

Cha ajabu hizi tuhuma huenda ni za kweli/ si za kweli, lakini wanakosea namna ya kukabiliana nazo.
 
Kwa mwenendo huu lazima iangukie pua.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hapa tu ndo chuki ya wananchi juu ya serikali inapoanziaga.,maana wao ndo wangeungana na jamii forum kuwashtaki oilcom sasa badala yake wao ndo wanaungana na oilcom kuikandamiza jamii forum.

Lukwafya
 
Hii kesi si dhidi ya JF kama baadhi ya watu wanavyotaka ionekane, ila ni Kesi dhidi ya Uhuru wa watanzania katika kupashana habari. Mlioko Dar es salaam mkipata nafasi muwe mnakwenda kusikiliza hiyo Kesi kwani kushinda kwa JF ni Ushindi wa watanzania!

Kesho Kesi hii inaendelea kusikilizwa na kwa wale wenye nafasi Nendeni Kisutu mtuwakilishe!
 
sijawahi kuona photo copy ikakubaliwa mahakamani
Hizo print out zikikataliwa kesi itakua imeanguka
 
Je Polisi wamechunguza wizi wa Oil Com??
Au wanaziba ukweli kuishitaki Jf??
Ikulu ina taarifa za huu wizi??
 
Mmeshashinda case hii,mshitakiwa alitakiwa awe aliyetoa taarifa jamii forum,na hao police wafuatilie hizo taarifa ili waweze kuikamata kampuni ya oilcom na sio kuwaziba mdomo watu wa jamii forum.

Pili kwa nini serikali wanawashitaki jamii forum?? kwa kosa lipi?? Kama nikutoa taarifa kwenye mtandao, oilcom ndo wanatakiwa kwenda kushitaki mahakamani na wala sio hao polisi... Kwan polisi wamepata maumivu gani hadi waende mahakamani???

Eboooo
 
namba ya smu ulotumia na email vinaweza kusaidia kujua wewe ni nan!
labda u delete email na namba ya cm ufanye manuva wa badilishe apewe mbibi kolomije huko!
halafu records zote zifutwe!
Jf najiunga na email

Na huwa email najitungia mfano johnsmith@gmail.com na uzuri jf haina verification so unakuwa umejiunga tayari na hata ukitengeneza email unatengeneza fake


Hapo unakuwa hujaacha trace ,kubwa ni IP address yako tu na kujilinda ni kuipotezea simu uliyokuwa una log in nayo incase wakikagua server
 
Aisee Safi sana ngoja niandike uzi kuhusu chuo fulani na madudu yake ni hatari
 
maskini shaidi[emoji16][emoji16][emoji16] hapoangekutana na lissu angepewa na maji ya kunywa kabisa , lissu I miss u kwakweli urudi mapema namiss zile danadana zako kwa mashaidi uchwara[emoji16]
Mkuu naomba link ya kesi za mkuu TL nifuatilie namna anavyodadavua mambo kisheria.
 
Nashindwa kuwaelewa hawa jamaa wenyewe wanatoa taarifa kuwa kuna uwizi Mkubwa ulikuepo pale watu wanatoa mafuta bila kutumia meter Leo hii hao hao wanatupeleka mahakamani wakati ilitakiwa wao wawe ndani kwa kuiibia mapato serikali...
 
Mimi ningekuwa yule mtoa thread ,simu ningeitupilia mbali na account siitumii tena


Kwa uwezo wa Mungu JF itashinda
Endapo kama ana ushshid hakuna sababu ya kuogopa. Kwani mbona ilithibiitishwa kuwa kuna wizi wa mafuta bandarini?
 
Back
Top Bottom