Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaendelea na jaji kasema lazima iishe kesho tarehe 21 dec , hataki kwenda na viporo 2018Jaman Jana imepita kimya vipi kulikon?
Asante.. Imesahihishwa!Jumatano IPI ya tarehe 20/12/2017 wakati Leo ni tarehe 21/12/2017
Yule mwenye thread anapoint ila kashindwa kuilezea, issue ni kwamba unapobana pump kuna mafutabyanabaki kwenye ule mpira hasa hasa kama mpira ni mrefu, hivyo mwekaji anatakiwa mashine inapomaliza kuhesabu na pump imeshajizima, bado inabidi aache kwa sekunde kadhaa ili gravity iyasukume mafuta ambayo yameshapita kwenye mita lakini bado yapo kwenye mpira, kwa kubana ni kwamba anayazuia mafuta ambayo umeyalipiana bado yapo kwenye mpira, yanaweza yakafika hata lita 2.Kampuni ya Oilcom naona kuna matatizo sana, kuna thread ipo humu kuhusu kubana mpira na kutoa mafuta machache vituoni, binafsi siendi tena kwenye vituo vyao...
Kuna kitu pale...
Ila Wabongo kwa kweli tumeshinda tuzo kwa kupenda kuiba makazini!Yule mwenye thread anapoint ila kashindwa kuilezea, issue ni kwamba unapobana pump kuna mafutabyanabaki kwenye ule mpira hasa hasa kama mpira ni mrefu, hivyo mwekaji anatakiwa mashine inapomaliza kuhesabu na pump imeshajizima, bado inabidi aache kwa sekunde kadhaa ili gravity iyasukume mafuta ambayo yameshapita kwenye mita lakini bado yapo kwenye mpira, kwa kubana ni kwamba anayazuia mafuta ambayo umeyalipiana bado yapo kwenye mpira, yanaweza yakafika hata lita 2.