Kesi kifo cha Kanumba yaingia sura mpya

Hako kalimpiga na rungu Kanumba amekufa na yake moyoniii sema wanakaziba ziba ili kaonekane hakana hatiaa ingekua US kangeozea jela sema Tanzania kila sehemu rushwaa

Kama kuna Eye witness akatowe ushahidi huu mahakamani. Kanumba is no more ni nyota iliyozimika.
 
Kama kuna Eye witness akatowe ushahidi huu mahakamani. Kanumba is no more ni nyota iliyozimika.

Ndio nakuambia pamoja na hayoo kanumba angepona tungejua ukweliii wakabaki kutupa stori za freemason
 
Kasome kwenye kamusi Tenant, Propeitor na Land lord
sina hakika na spelling za mwenye propert.

aaaah dogo acha kukompliketisha mambo since no difference it makes nyumba unailipia kodi its yours mpaka utakapo hama, hata ardhi husemekana ni mali ya serikali lakini mtu akinunua kipande cha ardhi hukiita chake mpaka serikali itakapoamua otherwise.
 
Ahahahah ahahh hayo ndo maisha ya BONGO CELEBRITIES, wanaishi maisha ya kifahari WANAKUFA MASKINI.

yaani kuutwa kutuaminisha kwamba wao wako okey kifedha ngoja wafe ndo aibu inapoanzia
 
aaaah dogo acha kukompliketisha mambo since no difference it makes nyumba unailipia kodi its yours mpaka utakapo hama, hata ardhi husemekana ni mali ya serikali lakini mtu akinunua kipande cha ardhi hukiita chake mpaka serikali itakapoamua otherwise.

Nyumba haiwezi kuwa yako na hakuna baba wenye nyumba wawili, msijisahau kwenye nyumba za kupanga kwa kutiana ujinga huu.
 
unataka kusema nini labda? kwamba kila mtu ajenge au? wewe umejenga? alafu hapa swala sio kujenga au kupanga, ila pale mtu alipopanga apaiteje, jibu anapaita kwake, binafsi nimepanga na nikitoka kzn naenda nyumbani kwangu, sio kwa mwenye nyumba, nikipata mgeni namwambia karibu nyumbani kwangu hapa ndipo napoishi simpeleki kwa mwenye nyumba ndio amkaribishe, mwenye nyuma nikishampa kodi yake anapita hivi, akija kwangu shurti abishe hodi na nimkaribishe kwanza ndio aingie.HARUHUSIWI kuingia kwangu bila ruhusa yangu. kwa kifupi aliyejenga nyumba ni mmiliki wa nyumba mimi niliyepanga ndie mwenye nyumba. kujenga nyumba ni hatua tu za maisha na sio wote wenye uwezo huo.
 
Ufoo saro,Lulu na maso gange...woote wauaji kwa mbinu tofauti.pia niwakatili sn.
 
Mkataba wa pango huwa unasomeka hivi;

1.Matola - mwenyenyumba

2. Paula Kilaki - Mpangaji.
 
Yaani Kanumba jamani... kweli kifo hakina huruma alieyeimba huu wimbo nae kifo kilimpeleka maskini. Lulu hata wasiwasi hana hakumbuki hata kama alisababisha kifo cha mtu

TEAM KANUMBA hatukubali mpaka bibie afie jela, maana mwenyew kanumbe wetu kafa yeye kutwa yupo instagram anajipiga ma selfies, roho zinatuuma katuulia jembe letu mbwa huyu
 
Nyumba haiwezi kuwa yako na hakuna baba wenye nyumba wawili, msijisahau kwenye nyumba za kupanga kwa kutiana ujinga huu.

Ahahhaha nimeipenda hii, wape facts hao, naona wapangaji mapovu yanawatoka kweli
 
Yaani Kanumba jamani... kweli kifo hakina huruma alieyeimba huu wimbo nae kifo kilimpeleka maskini. Lulu hata wasiwasi hana hakumbuki hata kama alisababisha kifo cha mtu

Yupo busy instagram anatake ma selfies tu
 
Usihukumu na usipende kupita kiasi ukasahau hata wewe unaweza kupatwa na mkasa ule, Lulu hakupiga risasi wala kisu jiulize mtu anadondoka kutoka gorofani na anapona Kanumba kala mweleka tu kwenye floor kafa hapohapo, Think big

So mtu akidondoshwa kwenye floor hafi? Wewe unaleta mpya sasa!
 
Mkuu kibongobongo nyumba ya kupanga si yako. Ni ya aliyejenga yaani BABA MWENYE NYUMBA.
 
Mkuu kibongobongo nyumba ya kupanga si yako. Ni ya aliyejenga yaani BABA MWENYE NYUMBA.

Ndo hawa hawa wanakaa kwenye nyumba za kupanga miaka kumi hawataki kuama anasahau hata kujenga kibanda, ivi unajua kuna watu maisha yao yote wamejiwekea wao ni watu wa kupanga hadi wanakufa? Ndo maana nasema ELIMU nzuri binamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…