Kesi kifo cha Kanumba yaingia sura mpya

Ndo hawa hawa wanakaa kwenye nyumba za kupanga miaka kumi hawataki kuama anasahau hata kujenga kibanda, ivi unajua kuna watu maisha yao yote wamejiwekea wao ni watu wa kupanga hadi wanakufa? Ndo maana nasema ELIMU nzuri binamu.
Nadhani neno sahihi lilitakiwa kuwa 'nyumba alokuwa akiishi'...binamu ushaanza mambo yako yale ya kuwamarginalize watu wanao comment.
Ila kimsingi nyumba ya kupanga sio yako..ni ya baba mwenye nyumba...
 
Ahahaaa!!! Ahahaah!!! Ni kweli hao wanaopanga miaka kumi waache kujifariji na ujinga apa , nyumba ya kupanga ni ya kupanga tu huna mamlaka nayo.
 
TEAM KANUMBA hatukubali mpaka bibie afie jela, maana mwenyew kanumbe wetu kafa yeye kutwa yupo instagram anajipiga ma selfies, roho zinatuuma katuulia jembe letu mbwa huyu
waheshmiwa hawawezi kukubali kiutamu chao kiende jela...
 
waheshmiwa hawawezi kukubali kiutamu chao kiende jela...

Ni baba yake lulu mzee kimemeta ndo kamfanyia mpango mwanae, nasikia mzee ni auditor na yupo vzur , fununu zinasema yeye ndo aliyesababisha lulu atoke
 
Binamu unajua wewe useful sana, ungesaidia sana kambi za urais kule jukwaa la siasa wapate upashukunaki wa viongozi wanaojidai kutaka kugombea urais.
 
Ni baba yake lulu mzee kimemeta ndo kamfanyia mpango mwanae, nasikia mzee ni auditor na yupo vzur , fununu zinasema yeye ndo aliyesababisha lulu atoke

kumbe dingi yupo vizuri, nilimuona kwenye gazeti moja la udaku anaonekana chokest kumbe wanamsingizia....
 
kumbe dingi yupo vizuri, nilimuona kwenye gazeti moja la udaku anaonekana chokest kumbe wanamsingizia....

Nasikia lulu alizaliwa nje ya ndoa, na huyo baba ana mke na watoto, ila kimemeta yupo vzur we ushamuona baba lulu anahangaika na mwanae kumuomba hela kama akina baba flani na mama flani? Inshort baba yake lulu ni msomi na mwenye uwezo wake mzur tu, ni auditor
 
Wachaaaa weeee
 
aaah kumbe eeeh haya udaku udakuni na haka kadogo kake ni ka huyo huyo baba lulu?
 
Yaani lulu bwana......mwanaume kakasirika yy anamsukuma badala yakumpa kitu roho inapenda.

Naomba uninong'oneze mimi tu,endapo ingekuwa imekutokea wewe umemuona jamaa kashika panga halafu kakasirika,hivi ni kweli ungempa mzigo kiroho safi?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Naomba uninong'oneze mimi tu,endapo ingekuwa imekutokea wewe umemuona jamaa kashika panga halafu kakasirika,hivi ni kweli ungempa mzigo kiroho safi?

"Nlikuwepo":bolt:

Tena kiro safi kabisa.............wemgine ny.ege zao zinawapelekea kushika silaha
 
sasa global sijaelewa wamemaanisha nn?au ndo wanajaribu kuwakumbusha w2 maana naona kama wabongo walishaanza kusahau,gpl ni nuksi kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…