Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Nadhani neno sahihi lilitakiwa kuwa 'nyumba alokuwa akiishi'...binamu ushaanza mambo yako yale ya kuwamarginalize watu wanao comment.Ndo hawa hawa wanakaa kwenye nyumba za kupanga miaka kumi hawataki kuama anasahau hata kujenga kibanda, ivi unajua kuna watu maisha yao yote wamejiwekea wao ni watu wa kupanga hadi wanakufa? Ndo maana nasema ELIMU nzuri binamu.
Ila kimsingi nyumba ya kupanga sio yako..ni ya baba mwenye nyumba...