Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Ina maan kwa uamuzi huu polisi akiomba taarifa zozote na kumhusu yeyote lazima apewe siyo?
 
Hizi issue za kusema where we dare to talk openly halafu kuna wakati tunaandika habari za uwongo au uzushi kwa nia za kisiasa au kuchafua watu si sahihi. Inafaa anayeandika habari awe na uhakika. Sio kuchafua tu watu au taasisi. Tunaharibu wenyewe.
 
I always hate anonymous identity! Watu wameitumia vibaya JF ! I think [emoji848]
You "always hate" while hata wewe hauja reveal utambulisho wako? Walk the talk kwa kua na verified account.

Bunduki Wapo watu wengi tu wanazitumia vibaya kufanya matukio ya kihalifu lakini kila siku zinatengenezwa na kuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasheria wenye mapenzi mema na mnaouchukia utawala dhalimu mtusaidie kwa hili!...
Cc:TLS
 
Nafikiri kama wenyewe hawa walioimshitaki walivyompa shitaka la kuwekea ngumu upelelezi usifanyike kama kifungu cha 22(1)Cyber crimes Act,2015. Members wawe wanatoa taarifa za ukweli hasa wanapokuwa wanafichua madudu yanayohusu maslahi ya umma.
Hata tukitoa taarifa za ukweli kiasi gani kama watawala hawataki zijulikane kwa maslahi yao binafsi zitageuzwa na zitaonekana kuwa ni uongo na uzushi tu.

Chamsingi tuwe tunajadili maswala ya mahusiano na vichekesho tu.
Au tuwe tunawasema vibaya wapinzani tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa nikuwele sawa mkuu hii hukumu sio precedence sababu RMC sio Higher court of records.
Pili kwa usalama wa Jf kama mtu anataka kuibua skendo au tukio flani basi awe na uhakika na anchokiandika.
Sababu hii sheria Cyber crimes Act,2005.Ni moto wa kuotea mbali na watu wawe makini sana. Hasa watu kama wewe wenye Id fakes alafu mnataka kutumia jukwaa vibaya.
 
Wanaoiponzaga JF ni vilaza wachache hasa hizi takataka ambazo zinashabikia vyama ambao wako tayari kuleta uzushi na hata kutukana kwa ajili ya kutetea matumbo ya viongozi wao wa vyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
im glad this shyt is over
Just somehow... Tushukuru kwa hatua ya awali but something must be done otherwise huko tuendapo kutakua kugumuzu zaidi kwetu na kwao pia.

Eidha tuchangie gharama za case ili Mello akate Rufaa, au kama inawezekana kutafutwe wadau walio nchi za nje walio loyal kwao ambapo sheria hii kandamizi haiwaathiri ili pafanyike Mauziano ya Umiliki just as "formality" ili kuwafanya Kina Mello kwamba sio wamiliki wa hii JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni za kweli polisi wakiomba Ip address ya member ataenda mahakamani atathibitisha. Na wala mmiliki wa Jf hataingia matatizoni.
 
Hizi issue za kusema where we dare to talk openly halafu kuna wakati tunaandika habari za uwongo au uzushi kwa nia za kisiasa au kuchafua watu si sahihi. Inafaa anayeandika habari awe na uhakika. Sio kuchafua tu watu au taasisi. Tunaharibu wenyewe.
Hivi kweli kwa akili yako unafikiri hiyo ndio nia ya serikali dhidi ya JF katika huhumu hii? Kama ni hivyo wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana.

This has nothing to do with habari za uongo - it has all to do with serikali kutopenda kukosolewa na madudu yao kuwekwa hadharani.

Hivi unadhani serikali ambayo ukiweka mitandaoni picha za barabara mbaya mbugani inataka uchukuliwe hatua itafanya jitihada za kiasi gani kuizima JF?
 
Okay Mkuu, nashukuru kwa ufafanuzi. Mimi sio mwanasheria. Kwa hiyo ina maana JF bado inaweza kukataa kutoa taarifa za mtoa thread au post na serikali ikawafikisha tena mahakamani independently ya hii hukumu, na hiyo ikawa ni kesi mpya tena inayojitegemea?

Na pia, ni kweli kwamba ili kuwa na precedence JF wanaweza kuikatia rufaa hii hukumu ili uamuzi ukatolewe na mahakama ya juu kuweka precedence?

Na chagu wa malunde ni ID yako genuine tofauti na mie mwenye ID fake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…