Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Jogoo (Melo) hafi kwa utitiri

pambana mkuu uwanja usifungwe, tuwafunze adabu hawa watawala
 
Maxence Mello is doing so much for us but he leaves in a society where reciprocity is not important! Pole Mello unasulubiwa kwa ajili ya wengi hiyo pekee ni thawabu.
 
Mungu ni Mwema .

Unayopitia kijamii, kiuchumi ni mengi ila Watesi wasikutoe nje ya Reli Mkuu Mello .
 
Jf itabaki chit chat ishu za zakuchimbua mambo ya wakubwa ufisadi mwanzo wakupigwa pini ndio huu apa tuhuma zote zama kampuni mtu atapaswa aandike barua moja kwa moja kwa kampuni husika haijalishi itafanyiwa kazi au itapigwa chini
 
Back
Top Bottom