Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi tuna revenue authorities tatu namely Mahakama ya Kisutu, police Tanzania especially traffic police na TRA yenyewe. Tz lazima ipaeMilioni 70+ au miezi 5 jela,then milioni 3 au mwaka mmoja jela....😳ila mambo ya kisheria cyajui sana...akili yangu ndo imenifikirisha hivyo....
samahani mkuu hukumu tayari max mello yupo sero mpaka ilipwe 3m au jela mwaka mmoka mkuu mimi nipo tayari kuchanga nasubiri mwongozo.Naomba mtujibu kwani hukumu tayari? Mbona mtoa mada haelezei kwa kirefu? Kama hukumu tayari vipi imekuwaje? Kifungo? Faini? au vyote kwa pamoja?