Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri, Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

Namba zinahtajika au account number za bank fasta miamala isome

kilicho akilini kitumie
 
What happened?

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Sheria hata wanasheria na mawakili wasomi wenyewe hawaielewi.

Unaweza ukakuta wanabishana mbili ni namba mwingine anasema numerali,na atakayeshindwa kutoa evidence,anapatikana na hatia.
Hivyo waachie wao ndio wanaweza huo mchezo
Milioni 70+ au miezi 5 jela,then milioni 3 au mwaka mmoja jela....[emoji15]ila mambo ya kisheria cyajui sana...akili yangu ndo imenifikirisha hivyo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnachekelea kutozwa faini!Hamjaona hapo katiwa hatiani kwa kukwamisha upelelezi?
Kinachofuata sasa wakitaka info zenu watapewa
Tuna deal na kilichopo mezani sasa, hilo lingine litaangaliwa pia
 
Back
Top Bottom