BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok.Ndiyo.
Tanzania hakuna sheria inayofuatwa wanatumia ukilitimba kuongoza hii nchi.Ina maana Mahakama inakubaliana na Polisi kwamba hakuna privacy rights sio..?
Hakuna haki isokuwa na wajibu, tunawapenda sana basi tubehave.Ina maana Mahakama inakubaliana na Polisi kwamba hakuna privacy rights sio..?
Milioni 70+ au miezi 5 jela,then milioni 3 au mwaka mmoja jela....[emoji15]ila mambo ya kisheria cyajui sana...akili yangu ndo imenifikirisha hivyo....
Mnachekelea kutozwa faini!Hamjaona hapo katiwa hatiani kwa kukwamisha upelelezi?
Kinachofuata sasa wakitaka info zenu watapewa
Kwa lugha nyingine ni kuwa hakuna tena usiri wa taarifa za kila mmoja endapo tu zitahitajika na wenye nchi...Tatizo sio kulipa tatizo asije kuwa kawapa serikali ufunguo wa kuingia jf
Sent from Tapatalk
Tuna deal na kilichopo mezani sasa, hilo lingine litaangaliwa piaMnachekelea kutozwa faini!Hamjaona hapo katiwa hatiani kwa kukwamisha upelelezi?
Kinachofuata sasa wakitaka info zenu watapewa